Ibilisi alinizidi nguvu nikambaka binti yangu jamani nisameheni....

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Maskini waweza hisi....,ni pdidy la hashsa soma habari hii ya kusikitisha pg 9 ya nipashe

MKAZI MMOJA WA KIJIJI CHA KASEKEKESE MKOA WA KATAVI MAYUNGA SAMIKE 44YRS AMETUBU NA KUKIRI IBILISI ALIMZIIDI NGUVU NA KUSABABISHA KUMBAKA MWANAE WA MIAKA KUMINA TATU...AKITOA KAULI HIYO MBELE YA MAHAKAMA WAKATI AKIPEWA NAFASI YA KUJITETEA ALISEMA""NILISHAWISHIKA KUMTENDA BINTI YANGU HUYU AKIWA SHULE YA MSINGI BAADA YA IBILISI HUYO KUNIZIDI NA KUISHINDA NAFSI YAKE...ALIOMBA MAHAKAMA IMPUNGUZIE ADHABU KWANI MKEWE N MJAZITO NA ANA WATOTO WAWILI WADOGO WANAHITAJ MALEZI YAKE ...LA HASHA ....MH AKIMU NILITENDA KWA BAHATI MBAYA...MWENDESHA MASHTAKA ALIULIZA KAMA AMEWEZA KUTENDA KWA MWANAE KWA WATOTO WENZIE JE SI ATAWASODOMA NA GOMORA KABISA..KUNA HAJA YA KUMWACHA URAIANI MTU KAMA HUYU AKIMU ALIULIZA MWENDEHSA MASHTAKA... BAADA YA HAPO NDIPO MH HAKIMU AKAANZA KWA AKUMSOMEA MAKOSA YAKE NA MWISHO KWA KUSIKILIZA SHIDA ZAKO NA MATATIZO YAKO YA KIFAMILIA NI KWELLI MAHAKAMA IMETILIA MAANANI UNA WATOTO WAWILI WAANAOKUTEGEMEA NA KWA KUHESHIMU MKE MJAMZITO TUNAKUTUNUKU MIAKA 30 JELA NA KUCHAPWA VIBOKO VI3 UINGIAPO NA 3 UKITOKA..ILI IWE FUNDISHO KWA WALE WANAOKUJA HAPA NA WAKE WENYE MIMBA WAKITARAJIA MSAADA KWENYE UPUUZI KAMA HUU ALISEMA MH SANA...


HII NI ONYO KWA WALE MNAOCHAFFUA WATOTO ZA WATU NA WATOTO WA SHULE KWA KUTUMIA GARI ZENU ZA TINTED NASHAURI MUWE MAKINI KUNA KESI UNAAMBIWA UJITETE HUKUMU IKO JUU YA MEZA NA KUNA KESI AKIMU ANAANGALIA ATAKUSAIDIAJE HAYA KAZI KWENU NA WATOTO WA JANGWANI,ZANAKI,KISUTU KAMA IPO..NA KWINGINE KOTE....

MWISHO NAKUONGEZA MH HAKIMU UKO ULIKO NA KAMA UNAISOMA HABARI HII UKIFIKA DAR NAOMBA NI PM NIKUPE USIKU MMOJA WA KULALA PALE KEMPINSISK MWISHO SAA 4 ASBH UKIENDELEZA MALAZI JUU YAKO...HONGERA KWA KAZI NZURI INGAWA UNAONYESHA KWA KUMPA MIKA 30 TU UMEJIANDAA VYEMA KWA AJILI YA KWARESMA MUNGU AKUBARIKI
 
Afadhali maana hiyo title nilichanganyikiwa nikasema kulikoni tena mkuuu. Kama sio wewe poa
 
Nasema katika jina la yesu mwana wa adamu aliyehai, akashushe mkono wake mtakatifu kwa wale wote wenye tabia kama hizi. nakemea katika jina la bwana wa mabwana, atuepushe na tamaa hizi zilizokithiri katika hii dunia. tunaomba atusamehe kwa yale yote tuliyoyatenda na akatakase dunia hii iliyojaa maovu ya kila aina.
Bwana asifiwe sana....
Pia tunamuomba Mungu wetu mkuu akapate kuwajalia mabinti zetu ambao siku hizi wamekua kama nyama tamu inayowindwa kwa nguvu na mnyama mkali..ukapate kuwajaza nguvu na kuwalinda na matukio makubwa kama haya ya kibazazi wakapate kuishi maisha mazuri na yanayokupendeza, baba wa mbinguni tunakuomba pia ukawajalie afya njema na kuwaangazia mwanga katika maisha yao...
Bwana asifiwe sana...
Tunakuomba ukatupe nguvu ya kushindana na ibilisi..ambaye ndio chanzo cha haya yote, ili tuweze kuepuka na tamaa kama hizi...akashindwe katika jina la Yesu, pia tunakuomba utuepushe na pepo wa baya na nguvu zote za giza, zinazofanya hata uweze kum-fataki au kumbaka mwanao....!! katika jina la Yesu...

AMEN

za asubuhi jamani..samahani ilibidi nianze na sala
 
Mtu anayeweza kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenyewe,tena mtoto wa miaka kumi na mitatu! siyo kwamba Ibilisi alimshinda hapana,ila yeye ndiye aliyemshinda Ibilisi.Hivyo basi,huyo ni mnyama asiyefaa kuishi na binadamu.Mh hakimu umetenda vyema kwa kumpa miaka 30,ila ungetenda vyema zaidi kama ungempatia life sentence..

Mtu anayeweza kumbaka mwanae atashindwa kutenda lipi kwenye dunia hii?
 
Oooops!! Nilidhani ni wewe pdiddy. Hiyo adhabu inamfaa tena angempiga maisha kabisa.
 
Hakimu katenda haki tena angemuweka maisha lupango km kamfanyia wakwake twajuaje wajirani zake ambao hawakusema kwa kuogopa fedhea, ngoja aende huko lupango akutane na ibilisi wenyewe naombea wakamuoe.
 
imetulia iyo yani mtu unakula ki2 roho inapenda.. kala mayai yake mwenyewe bila kuibiwa
 
Mtu anayeweza kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenyewe,tena mtoto wa miaka kumi na mitatu! siyo kwamba Ibilisi alimshinda hapana,ila yeye ndiye aliyemshinda Ibilisi.Hivyo basi,huyo ni mnyama asiyefaa kuishi na binadamu.Mh hakimu umetenda vyema kwa kumpa miaka 30,ila ungetenda vyema zaidi kama ungempatia life sentence..

Mtu anayeweza kumbaka mwanae atashindwa kutenda lipi kwenye dunia hii?

Sawa kabisa. Ibilisi huwa anasingiziwa wakati naye huwashangaa binadamu kwa maasi kama haya.
 
kama walivyosema wenzangu hapo juu huyu mtuhumiwa amemuonea ibilisi anatakiwa amlipe na fidia kabisa, ibilisi hapo hausiki nayeye kakaa pembeni kama sisi anashangaa
 
1. Anatakiwa kulaumiwa kwa sababu alitakiwa kushinda hilo jaribu na ni tabia mbaya kumbaka mwanao.
2. Mke wake kama yupo lazima naye alaumiwe, inawezekana jamaa alikuwa hapati kabisa ile service.
3.Kuna jamaa namwamini kabisa, lakini mkewe akatoka na house boy wake, tatizo, jamaa akifika home, utafikiri ndoo ofisini, order kwenda mbela, jamani tumepewa hivi vitu tugawane, bila gharama, .

nawakilisha
 
mi ninavyojua ni kwamba ibilisi na jiumbe la kutisha sana.kumuona tu lazimie utazimia halafu mtu anadai ndiye aliyemshawishi.ni ujinga wako kumkubalia kama ulikuwa hata na guts za kumuangalia
 
Mtu anayeweza kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenyewe,tena mtoto wa miaka kumi na mitatu! siyo kwamba Ibilisi alimshinda hapana,ila yeye ndiye aliyemshinda Ibilisi.Hivyo basi,huyo ni mnyama asiyefaa kuishi na binadamu.Mh hakimu umetenda vyema kwa kumpa miaka 30,ila ungetenda vyema zaidi kama ungempatia life sentence..

Mtu anayeweza kumbaka mwanae atashindwa kutenda lipi kwenye dunia hii?

Kaka mi sinywi vinywaji vikali ila naweza kukununulia kama unatumia
 
Tatizo hapa ni umri wa mtoto (13yrs), vinginevyo sioni kosa kama angekuwa 18+..

Waheshimiwa kibao hapa mujini wanakula watoto wao with impunity ..

Kama kuna mtu anabisha tukatene Equatorial Bar - SabaSaba leo jioni nimwonyeshe Baba na Mwana wanavyokula raha!
 
Duh! Nilipoona hicho kichwa cha thread hapo juu nilijisemea nini tena kimemsibu mkuu Pdidy! Kumbe ni huyo mkulima? Wacha akafie jela na tamaa zake za kijinga.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom