Kati ya Post zangu nilizopost hii imepata wachangiaji wengi

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,660
Hizi handbag za kina dada hizi!!?
Je ni 7bu zipi zimepelekea post hii kuchangiwa?naomba kuwakilisha.
 
WANACHANGIA SABABU ZIMEBEZI KWENYE NGONO NA SIASA CHOCHEZI (kwa ujumla post zinazochangiwa humu JF) ANDIKA KUHUSU ...ELIMU....UCHUMI...MAENDELEO...MALEZI....UZALENDO UONE KAMA ZITACHANGIWA VYA KUTOSHA (just do that simple research)
 
Right place in a right time!!
Unachangia Elimu na Uchumi kwenye Jukwaa Siasa?
Unachangia Maendeleo na Uzalendo kwenye Jukwaa la Lugha?

Najaribu kupiga mahesabu naona watumiaji makini wa JF, Mods, Founder na administrators kwa ujumla ni Ma great thinkers wa ukweli. Hupendi habari za Mahusiano nenda zako huko kwenye siasa, hupendi siasa nenda zako huko kwenye technology hata kama hujaona pa kukufaa sio lazima kukaa huku nenda facebook na kwingine. Ili mradi tu uwe na uhuru wa akili na nafsi yako.
 
Halafu na wewe bwana, hii tathimini ya kwa nini thread imechangiwa? Mmmmh mbona zingine zinachangiwa kuliko hata hio? Anyway........
 
asante ld maana watu wengine wanatamani wawe ndo wana control nini kiandikwe!kwani haoni jukwaa linahusu nini!msaada wa mawazo uliompa utamsaidia
 
Halafu na wewe bwana, hii tathimini ya kwa nini thread imechangiwa? Mmmmh mbona zingine zinachangiwa kuliko hata hio? Anyway........

hujambo LD?
Bora wewe umeianza asubuhi (huku kwetu) na kikombe cha kahawa!!!!!!!
 
Right place in a right time!!
Unachangia Elimu na Uchumi kwenye Jukwaa Siasa?
Unachangia Maendeleo na Uzalendo kwenye Jukwaa la Lugha?

Najaribu kupiga mahesabu naona watumiaji makini wa JF, Mods, Founder na administrators kwa ujumla ni Ma great thinkers wa ukweli. Hupendi habari za Mahusiano nenda zako huko kwenye siasa, hupendi siasa nenda zako huko kwenye technology hata kama hujaona pa kukufaa sio lazima kukaa huku nenda facebook na kwingine. Ili mradi tu uwe na uhuru wa akili na nafsi yako.

Aisee hii vere vere nakupa offer ya MOUNTAIN DEW for this uzifuli posti

The Following 1 User Say Thank You to LD For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
hujambo LD?
Bora wewe umeianza asubuhi (huku kwetu) na kikombe cha kahawa!!!!!!!

Sijambo kaka yangu bacha, napata hiki kikombe cha
Kahawa fasta niingie hapo kwa mkoloni, hope uko salama kaka angu.
 
what's next kwa nini post ya 'kati ya post zangu nilizopost hii imepata wachangiaji wengi',imepata wachangiaji wengi.sijui ntajibuje.lol
 
WANACHANGIA SABABU ZIMEBEZI KWENYE NGONO NA SIASA CHOCHEZI (kwa ujumla post zinazochangiwa humu JF) ANDIKA KUHUSU ...ELIMU....UCHUMI...MAENDELEO...MALEZI....UZALENDO UONE KAMA ZITACHANGIWA VYA KUTOSHA (just do that simple research)

mh hilo nalo neno..
 
Hizi handbag za kina dada hizi!!?
Je ni 7bu zipi zimepelekea post hii kuchangiwa?naomba kuwakilisha .
Kufilisika kote kunaruhusiwa, lakini mtu anapofilisika kimawazo, MWONEE HURUMA!

I cant imagine mtu unapandisha thread kama hii kwa watu...my private parts!!!!:A S 20:...:A S thumbs_down:

Unataka nini?,... mchango gani...usaidiwe nini...ujibiwe nini...unafundisha nini?...Anyway, huenda ndio sababu sikuisoma kabisa hiyo thread, i just found that nilikuwa naipita tu, and today i see the aftermath..!Thanx God!
 
hahaha!kha!punguza mashushu basi!same do i,,,lol
 
Back
Top Bottom