tukifananisha makampuni ya cmu na mademu,airtel ni sista du anayependa starehe na kubadili majina na kupenda wenye nazo,vodacom mchumba wa kuoa kabisa,zantel jimama la kulea vitoto,ttcl kibibi...
najua mnaipenda kazi yenu jamani embu jalini na familia zenu ,,overtime tamu lakini
kuitwa mjomba na watoto zako sio raha kila siku ukija wanakuita mjomba uncle wewe jamani
embu haya mambo tuwahi...
Salamu, hivi ukishazaa na kuachika unaweza kupata mwanaume mzuri akakupenda wewe na watoto wako maana watu wanasema eti ukishazaa thamani inapungua. Nisaidieni jamani i'm a single mother and i...
Vuuuuuppp!!!!
Naongea kwa uhalisia & hisia, kwa kutumia uzoefu, Bujibuji ataongezea, wanaume wengi akisha do na demu, ooohh...!! ndio mwanzo wa kuanza kumpiga chenga demu mara kibao, especially...
Hasa mida ya asubuhi ukiingia ofisini utasikia.....hiiiiii mambooo umependeza wigi lako umenunua wapi? Ilihali ukimwangalia hilo wigi ni kama helmet ya pikipiki ambayo no oversize. Na mwenyewe...
Tukiwa katikati ya mchezo akaniambia maneno haya "give it to me", nikampa, tena nikaongeza nguvu na spidi, bado akaendelea kudai nimpe, na akaongezea usiniogope sima nikupe nini?
Nimejiuliza...
naomba kupata ushauri hasa kwa walioana,,, je nni mda gani muafaka unaweza kukaa na mpenzi wako kabla ya kuoaana? mf miaka 2? 5? miezi6? au? naomba ushauri,,,
Habari wana JF?
Mwenzenu nilikuwa Pemba nimerudi jana, nilipokuwa huko katika taasisi ile ile ninayofanyia kazi nilitokea kupendana na binti wa Kipemba!! Binti anajua kupenda jamani (Mapenzi in...
kwanza salamu
nianze kwa kusema nilipokuwa kijana nilikuwa na maisha magumu sana kwa upande wa mahusiano/uchumba
nilipokuwa sekondari high nilikuwa na rafiki yangu wakike niliyempenda sana...
Haya ni majini ambayo dawa yao ni kufyeka na damu ya yesu..unawasha moto wa yesu kwanza kabla ya kusali
kuna mabinti kila wakipata mchumba wanaishia kuvishwa ring za engagement isiwe kwako in...
Wadau,
Mtakumbuka kuwa Miss Judith alitushirikisha kwenye maombi ya siku 30 za kumteua wa kuishi naye daima dumu.
Kwa mijibu wa mahesabu aliyojiwekea mwenyewe ilitakiwa by 01/june 2011...
Habari zenu !
Natumaini wote mnapenda wapenzi wenu wawe na sifa zote mnazozihitaji,
Swali langu ni kuhusu sifa mbili kati ya nyingi za mwanamme.
Kuna wanaume wawili, mmoja ni mwaminifu,hawezi...
Malenga ninawajia, kisima nakisifiaMachoni kinavutia, nakipa mia kwa miaumbo lake asilia, bado halijafuliaKisima hiki kisima, raha kinanipatiaNdani ninavyo ingia, akili zangu zarukaNabaki...
Wakuu wa JF,
Nimekua msomaji hapa mda mrefu na hasa kwenye siasa ila nimeamua kuingia rasmi kwa kuvutiwa na hoja kadhaa.Hata hivyo sitawaeleza chama changu ni kipi ili niwe na mawazo huru.Hili...
Mara kadhaa imenitokea na pia nimesikia wenzangu pia wakishuhudia........wakati mwanaume anapokuwa katika harakati za kuomba uhusiano kwa mwanamke hukumbuna na maswali kama....hivi umenipendea...
Hili nijini linalofanya kazi ya kukutenganisha wewe na bosi wako
jini hili huhakikisha kwa bosi unaonekana kama choo kikubwa
habath
hili ni jini msaidizi linakaa chooni bosi wako akienda...
Hili ni jini linalocheza naakili za watoto zetu..yawezekana abako na mama walitumiwa hili ndio maana
kila kukicha kwenu chuo kikuu ni hadithi ...sasa basi ifike wakati sema imetosha kama unasoma...
Mzazi mwenzangu ameamua kupiga cm na kumtukana kila mwanamke niliye msave katika cm yangu.
Matokeo kanitukania boss wangu .
Naomba ushauri nimfanyeje huyu na hapo cjamuoa bado..!