Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mara nyingi haya nayasoma kwenye magazeti, ila yowe nililosikia juzi kutoka kwenye nyumba ya jirani yangu na kupelekea tuamke tukidhani kuna tukio baya limetokea vilinifanya niamini kuwa haya...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Mpenzi wangu ananikatia simu, anaizima,nikifanikisha kuongea nae anakata atakama nimempigia mwenyewe, sometime anapokea wala aongei, jamani sijui nifanye nini? Nishaulini. Very sereous nisaidieni...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Habari wakuu wa jamvi, Jamani hivi watu wametofautiana sana,unajua kwanini nasema hivyo?utakuta kuna mtu yeye anapenda kulia gizani,yaani giza totoro ndio furaha yake,mwingine yeye anataka angalau...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
My biggest wish... My biggest wish is to see you face.... hold you hand and blow you a kiss!! Though a big girl now i would let you play with my hair... or hold my hands while we say a...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Naomba mnisamehe ndugu zangu...Hii akili ya 1947 ime-jam! Hivi kwa mazingira yetu ya sasa ya dot com, ufisadi, ulegelege wa wakulu (Maranya kaita urojo rojo), uzembe, umbeya, kupigana mabao...
3 Reactions
64 Replies
7K Views
Nawasalimu wakuu!! Kweli Mapenzi mikasa!!! kuna jamaa yamemkuta jamani, msela alikuwa na demu (muda siujui) lakini aliachwa na demu kwani huyo dada alitokea kumpenda rafiki yangu...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
myself i am 39 but dating 48 for almost 6 month now advantage! i dont pretend to be someone else to be accepted, given that older women are secure in their own skin, they have their own life, and...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Ajinyonga Hadi Kufa Sababu Ya Kupigwa Na Mkewe. Mkazi mmoja katika Mtaa wa NHC katika Mji wa Mugumu wilaya ya Serengeti wilayani Mara, Samson Kitoshi (32) amejinyonga hadi kufariki dunia kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
marafi wa jf naomba niwaulize kpmo cha mapenzi n nn?naombeni mnijibu.
0 Reactions
52 Replies
12K Views
Jijini Harare,Zimbabwe kwa zaidi ya mwaka sasa kumeibuka kundi la wanawake watatu wenye silaha wanaoendesha magari ya kifahari kuwarubuni wanaume kwa lifti baadae kuwabaka kwa nguvu kwa kutumia...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Points On How To Improve Your Life Personality: 1. Don't compare your life to others'. You have no idea what their journey is all about. 2. Don't have negative thoughts of things you cannot...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna wanaume ambao kwa kutokujua wanadhani mwanamke anachohitaji ni ‘fidia’ baada ya kuvunjiwa heshima, hivyo huwa wanawavunjia heshima wake zao na baadae kujitoza ‘fidia’ kwa kuwanunulia zawadi...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa waliotazama taarifa ya habari ya saa 2 usiku ITV waliona taarifa ya binti wa miaka kumi na tatu kujinyonga hadi kufa kwa kamba ya pasi. Ilikuwa ni habari ya kusikitisha sana sana hasa kwa sie...
10 Reactions
31 Replies
4K Views
Nina mpenzi wangu ambaye kanizidi mwaka mmoja tuu, ila kila cku analia na umri wangu kuwa mimi ni mdogo kwake, embu niambie jamani nimfanyeje cause anataka kuniacha, mimi ni kijana wa miaka 27...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hivi kwa ninyi madada, mawifi, mama wakwe..... Hivi ni kwanini mwanamke mwenzenu anapochelewa kupata mtoto akiwa ndani ya ndoa huwa mnapenda kuwasimanga. Mara mjaza choo, anakula vya mwanao/kaka...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii video ina majotro Kukatika, malavidavi na kunengua huanziaga utotoni!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimewahi kuja mbele yenu, kwa heshima zote nikitafuta mwanamke wa kuoa sikfanikiwa, narudi tena kujaribu bahati, nikasema ni lazima awe ni mwanamke mzuri, mwenye shape ya kuvutia sana, asiye na...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari zenyu mabibi na mabwana najitokeza mbele yenu kutafuta rafiki wa kike sharti awe mkweli kwa kila jambo.Ahsanteni
0 Reactions
6 Replies
3K Views
mume mwema na mke mwema hatoki kwenye forum yeyote ni kwa Yesu pekee..nitafute nikufundishe jinsi ya kuomba kwa ajil ya mume au mke.thax..0712006246
0 Reactions
8 Replies
2K Views
natafuta online girlfriend!
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…