O my god!, Oh my god!: wewe utanyaje hapa?

Sipendi mtu akisema kama kichwa
Cha thread yako... ndo maana stinto
Kaa ni nunue ule wimbo wa Usher na
Ule mwingine wa Gwin.
 
Nilishawahi sikia hii clip kipindi kidogo. Ni program ya kenya nadhani. Nadhani ikija Tz watakamatwa wengi. Mama ameshikwa vibaya kweli kweli. OMG. Simu zinarahisisha cheating as well as kukamatwa.
 
Nilishawahi sikia hii clip kipindi kidogo. Ni program ya kenya nadhani. Nadhani ikija Tz watakamatwa wengi. Mama ameshikwa vibaya kweli kweli. OMG. Simu zinarahisisha cheating as well as kukamatwa.

My motto... I never entertain communications na mtu ambae ni
opposite sex alafu hatuna la msingi la kuongea... ni moja ya
strategy nzuri naona.... for hakuna kitu kinajenga intimacy kama simu...
 
...Dahhh, Imekaaa vibaya kweli hii...!
eti "it is not what you are thinking!"...
 
My motto... I never entertain communications na mtu ambae ni
opposite sex alafu hatuna la msingi la kuongea... ni moja ya
strategy nzuri naona.... for hakuna kitu kinajenga intimacy kama simu...

Good motto. By the way kwangu mimi mwenzi wangu akiwa ana entertain mawasiliano ya simu na mwanaume mwingine hata kama ni mazungumzo ya kawaida, huwa nalichukulia kama kosa. Kwa sababu ni mojawapo ya vishawishi vya ku cheat.

Kwanza kama uko na mimi, hayo mawasiliano na mtu mwingine ambaye ni ''just a friend'' yanatoka wapi?
 
Hapo mume akifika nyumbani mke kalia mpaka uso umemvimba ili aonewe huruma...
 
haya ni madhara mengine ya kutokufikishwa kileleni, waume wapelekeni wake zenu toilet looooo
 
Back
Top Bottom