Nisaidieni mawazo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni mawazo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kafuta, Aug 13, 2011.

 1. K

  Kafuta Senior Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wandugu mwenzenu nimetokea kumzimia mdada mmoja vibaya.na yeye anajua hilo,sasa celewi kwa upande wake ni hivyo au la..tatizo lingne ni kwamba yuko mbal na ninapoish yaan mkoa mwingne.na nikimtaka aje nilipo anadai yuko biz ile mbaya.hana muda..ila alinikaribisha pia niende na mm biz mbaya,,nipeni njia nzur ya kumvuta kwangu..maana nimeshndwa kabisa kumshawish aje japo cku moja..maelezo hayajakaa vema sana lakin naamini ntakua nimeeleweka
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kama huelewi kwa upande wake si umuulize?!Au unataka sisi tukisie?!

  Pili kama ambavyo mambo yako ni muhimu huwezi kwenda kumtembelea ndivyo ambavyo na yakwake ni muhimu hivyo hawezi kukutembelea.Sasa kwasababu wewe ndie mwenye shida piga mahesabu uamue nini cha kufanya.Unampenda sana mfuate alipo....humpendi potezea!
   
 3. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,313
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  yeye kuja kwako hawezi kisa yuko bize,
  wewe kwenda kwake huwezi kisa uko bize


  anataka uende kwake

  unataka aje kwako

  mhhh!! Mi sina njia ya kufanya uwe nae karibu labda kama inawezekana umtumie/akutumie hicho anachokitaka/unachokitaka kwa njia ya posta.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mwendee kwa mganga huyo!!
   
 5. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  a2mie BLUETOOTH
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  au infrared.
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ubize gani huo hadi unashindwa kwenda. Jifungashe ijumaa ijayo uende. Kama vipi yeye atoke huko wewe utoke huku mkutane kati.
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nimecheka ulivyomshauri ajifungashe ijumaa ijayo..lol.. Why isiwe kesho?? Afu mwenzie yuko bize, atamkuta kwel jaman??
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kaka Fimbo ya mbali haiui nyoka! hawezi kuja coz bado hajawa sure unataka nini kwake. Ukienda huko aliko atajua uko serious kweli lkn hii ya kumwambia aje nahisi anadhani unataka kumtumia tuu na kumwacha. Km kweli unampenda na una uhakika na yeye ana feel sawa km wewe mfuate si mbaya wenzetu wanapenda kunyenyekewa na kuonyeshwa kwamba unajali. Hivi hivi kaka utaishia kuomba maoni daily!!
   
 10. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  yeye yuko bize na ww upo bize siku ubize ukiwaisha mtakutana, nashindwa kuelewa kama wewe unampenda unashindwa nn kwenda, watu wanavuka bahari saba itakuwa wewe hapo tu, jitume kijana onyesha udume wako
   
 11. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Love is all about sacrifice, my dear. Kama unampenda kwa dhati basi muoneshe kuwa unamaanisha, jitoe na umfate wala usitegee yeye aje kwako. Just do it for the sake of ur love, lasivyo mtaishia kuhang hang tu hatimae kila mmoja anaanza kusepa kivyake vyake!
   
 12. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  watu wanapanda milima na kushuka mabonde kuwafata wapenzi wao
   
 13. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ndugu unajua nini maana ya kupenda wewe au unamtamani?mapenzi ni upofu.jipangu umfate so as ajione special.mwanamke hawezi kujipendekeza kwako you have to initiate this.mfanye ajisikie na utapata maksi nyingi sana.nenda.
   
Loading...