baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 2,989
- 4,369
PESA NI NZITO KULIKO UPENDO
Hakuna Mwanamke Anayevutiwa na Mwanaume Anayetembea kwa Miguu, "Upendo wa Dhati ni Hadithi ya Kufikirika.
Wakuu, humu JamiiForums kuna watu wanajifariji kwa utopolo wa upendo wa dhati na moyo wangu wa dhati. Huu ni utindio wa ubongo uliopitiliza unaotumiwa na watu waliofeli maisha ili kufunika aibu zao za kukosa hela.
Ngojeni niwapige msumari wa moto ili mimacho yenu iliyolala ifunguke, Tulia, sikiliza maneno wewe,
Tafuta hela, acha upumbavu Ukweli unaouma kuliko kidonda kinachonuka utumbo ni kwamba, ukiwa wewe jinga usiokuwa na kitu, utatombewa mwanamke wako mchana kweupe na utabaki unashuhudia tu, Una mimacho mikubwa lakini hela huna, unategemea nini mtaani?
Hakuna mwanamke duniani anayevutiwa na mwanaume anayepiga pombe kali za buku buku, anayenuka jasho, au anayetembea kwa miguu kutoka mtaa mmoja kwenda mwingine akifuta vumbi kwenye viatu vyake vya mtumba.
Inatia kichefuchefu na kukera kuona mtu mzima unajifariji kwa kusema Mwanamke wangu ananipenda nilivivyo wakati unajua fika kuwa anakuvumilia tu kwa sababu kwa sasa hana mbadala au bado hajapata mwanaume mwenye usafiri wake na pochi iliyonenepa.
Siku akitokea mwamba mmoja mwenye na chuma chake cha maana cha kutembelea na salio la kueleweka benki, utajua kwanini mapenzi ya dhati yanapatikana kwenye tamthilia za kifilipino tu.
Utanyang'anywa mwanamke mchana kweupe huku ukiona kwa macho yako, na utabaki unalialia kama mtoto mdogo eti, wanawake hawana uaminifu, Hawana uaminifu au wewe fala lipumbavu huna faida yoyote mezani zaidi ya kutoa miayo na kuleta kelele za kishamba ndani ya nyumba,
Pesa ina miujiza ya kununua tabasamu na utii wa mwanamke. uwe na sura mbaya na hela huna, uwepo wako hapa duniani ni hasara na mzigo mzito kwa jamii, Ukiwa kapuku wa kutupwa, hata uwe na adabu kama malaika, utaonekana una gundu na uwepo wako ni kero inayotia kichefuchefu.
Acheni useng wa kulia lia hapa jukwaani huku mkitegemea huruma ya wanawake. Nenda kajiangalie kwenye kioo cha chumba chako kilichochoka, kisha ujiulize mwanamke akikuomba hela ya dharura au ya kusuka utampa nini zaidi ya maneno yako ya kiswahili na ahadi za uongo zisizo na mbele wala nyuma, Wewe lipumbavu utakazwa bila hela mtaani, na utabaki kuwa mtumwa wa kila mtu kwa sababu huna thamani yoyote. Maisha sio maigizo ya bongo movie, ukiwa huna mbele ya mwanamke wewe ni sawa na paka tu anayelinda jiko.
Mapovu yenu na kashfa zenu hapa hazibadili ukweli kwamba ukiwa huna hela mtaani wewe ni pambo lisilo na thamani yoyote.
Tafuteni hela, acheni useng! Wanawake wenu wataendelea kuliwa na wanaume wenye fedha huku nyie mkiambulia makombo na dharau Tapikeni povu, pumbavu zenu