Nina miaka 23 nimechoka kuwa single nataka kuoa

Shady782

Member
Joined
Jun 12, 2026
Posts
9
Reaction score
45
Mimi nina miaka 23, napiga kazi za uashi. Sasa kuna muda narudi nyumbani nimechoka, sijaoga, nafika nipo tired kinoma, sijapika. Yaani inaniboa sana. Hata nikinunua vya kupika ili nikapike getto, nikifika labda kiberiti hamna, naamua kwenda kula mgahawani.

Hii hali imenichosha sana. Kuna muda nalala bila kuoga siku mbili kwa sababu nakuwa bize muda wote, maji yanaisha ndani. Nahitaji mke tusaidiane, haya majukumu peke yangu yananishinda.
 
Mkuu unaweza ukawa disappointed at all na ukaja kuua kama expectations zako ni hizo kwenye ndoa.

Unaweza ukaacha kila kitu halafu ukarudi katika hyo hali ukakuta hakuna kilichopikwa na hayupo ndani yupo nje na mashosti anapiga story au yupo na masela wanapiga story huku hana habari na wewe.

Ndoa ni zaidi ya hayo.
 
Mimi nina miaka 23, napiga kazi za uashi. Sasa kuna muda narudi nyumbani nimechoka, sijaoga, nafika nipo tired kinoma, sijapika. Yaani inaniboa sana. Hata nikinunua vya kupika ili nikapike getto, nikifika labda kiberiti hamna, naamua kwenda kula mgahawani.

Hii hali imenichosha sana. Kuna muda nalala bila kuoga siku mbili kwa sababu nakuwa bize muda wote, maji yanaisha ndani. Nahitaji mke tusaidiane, haya majukumu peke yangu yananishinda.
Stay single as long as you can
 
Jambo la maana sana , Mimi ningekuwa na uwezo na wasaa ningeoa tokea nipo miaka 20
 
Mimi nina miaka 23, napiga kazi za uashi. Sasa kuna muda narudi nyumbani nimechoka, sijaoga, nafika nipo tired kinoma, sijapika. Yaani inaniboa sana. Hata nikinunua vya kupika ili nikapike getto, nikifika labda kiberiti hamna, naamua kwenda kula mgahawani.

Hii hali imenichosha sana. Kuna muda nalala bila kuoga siku mbili kwa sababu nakuwa bize muda wote, maji yanaisha ndani. Nahitaji mke tusaidiane, haya majukumu peke yangu yananishinda.
Kuna mwenzio kawatia kiberiti warembo wawili kwa sababu ya kukataliwa!
 
Mimi nina miaka 23, napiga kazi za uashi. Sasa kuna muda narudi nyumbani nimechoka, sijaoga, nafika nipo tired kinoma, sijapika. Yaani inaniboa sana. Hata nikinunua vya kupika ili nikapike getto, nikifika labda kiberiti hamna, naamua kwenda kula mgahawani.

Hii hali imenichosha sana. Kuna muda nalala bila kuoga siku mbili kwa sababu nakuwa bize muda wote, maji yanaisha ndani. Nahitaji mke tusaidiane, haya majukumu peke yangu yananishinda.
Sikushauri mwanangu kwenye umri huo labda mkeo awe over 30 napo itakaa sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom