Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimeanza ulevi ndugu zangu maana ndio option pekee ya kunifanya nijielewe mwenyewe kwa haya ninayopitia. Lakini nimejifunza kwa lugha ngumu sana kuwa kuishi na mwanamke mwenye Ego na kiburi ni...
4 Reactions
13 Replies
198 Views
Rais Yoweri Museveni ametoa wito kwa jamii ya Banyankole kurudisha madhumuni ya asili ya kiutamaduni ya sherehe ya Okuhingira, akionya kuwa matakwa ya mahari ya juu kupita kiasi na sherehe za...
0 Reactions
3 Replies
106 Views
Uweusi wao unapendeza sana nakuvutia sana.sio kama wanaojichibua ambao wamebabuka ngozi. Napenda sana wanawake weusi.
8 Reactions
24 Replies
434 Views
Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa...
12 Reactions
48 Replies
2K Views
Msaada wakuu maana naishi mbali na huyu mdau tunaonana mara chache chache sana. Nahisi kuchanganyiwa madalanzi na malimao.
4 Reactions
25 Replies
356 Views
Kijana nakuandikia wewe wa mika 20 mpka 35 .... Ukiingia kwenye mfumo wa kuitwa kuhudumia na bado haujajipata kipesa ,umekwisha 🤗..... Kujipata naongelea wale watu wanaweza fanya hata maamuzi...
11 Reactions
37 Replies
427 Views
Ndo nimetoka kumtuma boda ampelekee shangazi yenu vizawadi vidogo muda huu kuadhimisha siku hii Wadada wa humu mshapokea zawadi? 👀 Au ndo kila kitu kheri? Natamani nione mchango wa Binti wa...
3 Reactions
20 Replies
299 Views
Wanawake ambao huwa wanatoa namba za simu kwa uchangamfu mkubwa tu baada ya kuombwa na wanaume kisha wakishaachana wanawapotezea (ghost) au kujifanya matawi huwa ni wapuuzi wakubwa sana. Kama...
14 Reactions
77 Replies
815 Views
Mimi ni binti Single Mother miaka 36,natafta mme awe muaminifu, Namba ni 0625221348
9 Reactions
136 Replies
3K Views
najua ni katikati ya siku ya kazi ila naomba unijibu hili swali binafsi naipa 60% hiyo ingine ndo vitu vingine kutoka kwa partner sababu:vitu vingine unaweza pata popote ila sex kama mjuavyo ni...
17 Reactions
105 Replies
1K Views
Kuna andiko nimesoma kwenye ukurasa mmoja mtandaoni, ukielezea changamoto inayowakuta wanaume wanaopenda mahusiano ya mteremko. Atakuja mdada, na atakuwekea mazingira ya kukutaka kimahusiano, na...
2 Reactions
65 Replies
793 Views
Kama nilivyolelewa na singo mother na mimi pia natamani kuwa singo father. Ninawatapeli wanawake kupitia hela, ananizalia mtoto akiwa na mwaka na mpokonya...
3 Reactions
15 Replies
198 Views
Siwez oa sitak mchumba mm n single mpaka kifo.uzur mm n msomi nimesoma had chuo kikuu udsm. Maisha yangu naitoa kuwaangalia wazazi wang...
13 Reactions
69 Replies
783 Views
nipo pretoria sai nafight niliamua nibadili maisha ya bongo.ila huku mademu ni balaa toka niwe bongo sijawai ona namba kama hizi.
3 Reactions
27 Replies
511 Views
Nadhani mnajua mm siletagi chai hapa sasa nyumba nnayokaa kigamboni kuna mwana kahamia juzi tu hana miezi 2 baada ya kutoka kuowa akachukua apartment pale akahamia na mkewe wameanza maisha mapya...
4 Reactions
18 Replies
520 Views
Hellow wana JF. Nimeweka video hapo chini.👇👇 Watu wanamaumivu makali, watu wanauchungu mkubwa, watu wamekata tamaa kabisa, watu wamechanganyikiwa, watu wana vidonda vya moyo visivyo kauka, watu...
10 Reactions
34 Replies
560 Views
  • Redirect
Mama yangu ulifunza kuwa ndoa mbovu na haina dhamana. Ila ulinieleza na mimi nitafute mwanamke anizalie watoto ila nisimuoe. Asante mama kwa ushauri wako.
2 Reactions
– Replies
– Views
Wakuu vip hapo Nimepewa taarifa mbaya San kwamba jana majira ya saa tatu za usk jirani angu alimpost mchepuko wake aje ampige shoo fupi nje ya choo, choo Cha nje ya public Dad yule ni mpole sna...
15 Reactions
34 Replies
964 Views
Kuhudumiwa na mwanaume ni suala ambalo wanawake wanakubaliana nalo, lakini ni mfumo dume, ambao wanawake wanaupiga vita. Mwanaume kumuhudumia mwanamke ni suala la kupigwa vita, sio kupongezwa...
25 Reactions
192 Replies
2K Views
Habarini ndugu Wanabodi wa JF! Naenda kwenye kiini cha mada moja kwa moja. Nina changamoto... hata nikiongea kwa upole na kawaida, wasikilizaji wangu wanadai kuwa nimechukia na nafoka,, yaani...
0 Reactions
4 Replies
166 Views
Back
Top Bottom