Ya kale yalikuwa mema

Ya kale yalikuwa mema

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,911
Reaction score
3,736
Maisha ya ndoa enzi ya kale ilikuwa bora heshima ili dumu, ila saivi utapel tu hamna kitu.

Ndoa sai haiheshimiki na talaka zimejaa kibao.kwa sai sioni haja ya kuingia kwenye ndoa bora uwe na wachumba. maana ndoa sai imejaa utapel na tena mkiachana mnagawa mal kati.na unakuta mwanaume asilimia kubwa ndio mwenye mali.
 
Wanawake na wanaume wote ni wajuaji ,mke anatoka kwenda kazini na mume naye anatoka...Huu mfumo wa kijinga ,mke kaongeza mizunguko ; atakuambia niko Moro kwa siku nne kwa ajili ya kazi.
 
Maisha ya ndoa enzi ya kale ilikuwa bora heshima ili dumu.ila saiv utapel tu hamna kitu. ndoa sai haiheshimik na talaka zimejaa kibao.kwa sai sioni haja ya kuingia kwenye ndoa bora uwe na wachumba. maana ndoa sai imejaa utapel na tena mkiachana mnagawa mal kati.na unakuta mwanaume aslimia kubwa ndoh mwenye mal.
wahenga husema,

"awazalo mjinga ndilo litakalo mtokea "

ndoa nyingi za sasa zimejengwa katika msingi huo ndio maana nyingi zimebaki majina tu.

Lakini pia,
sense of perfections imeharibu na kusabaratisha ndoa kwa kiasi cha kutosha sana na bado inaendelea kujiangamiza zaidi 🐒
 
Maisha ya ndoa enzi ya kale ilikuwa bora heshima ili dumu.ila saiv utapel tu hamna kitu. ndoa sai haiheshimik na talaka zimejaa kibao.kwa sai sioni haja ya kuingia kwenye ndoa bora uwe na wachumba. maana ndoa sai imejaa utapel na tena mkiachana mnagawa mal kati.na unakuta mwanaume aslimia kubwa ndoh mwenye mal.
Jifunzeni hili kitu mkishatumia smart gin zenu huko na pombe kali mbalimbali wekeni simu zenu charge mlale mpumzishe mafuvu hayo.

Mtoto wa kike anayetumia uandishi wa “sai” sijui “sai” unapata wapi guts za kuzungumza juu ya ndoa?hicho Kiswahili tu lugha mama hujakielewa uje kuelewa ndoa?
 
Back
Top Bottom