kandambili ni KIATU? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kandambili ni KIATU?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TAMKO, Oct 19, 2011.

 1. TAMKO

  TAMKO JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Mnipige mitamko mwenzenu jamani, Zamani kilikuwa kiatu fresh tu ila sasa mikandambili.. yaani ukiwa mchezoni inatelezateleza tu bila mpango wowote.. utam wote wa mchezo unatoweka.. ila ndo chako, na chako ni chako sasa na ukisema uende kutafuta kiatu nje ya uwanja, unaambiwa tanesko wameshatawanya miwaya yao ya umeme kila kona.. nani anataka shot zisizo na mpango umri wenyewe huu ushaenda.. hebu waungwana mnisaidie ntaifurahia vipi mechi na kandambili zangu.. ??
   
 2. TAMKO

  TAMKO JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Nawasilishia

  kkkkkk.JPG
   
 3. h

  hayaka JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  cheza peku ndo mechi itanoga, haswa katika kipindi cha mvua. Angalia tu usigongwe ugoko.
   
 4. TAMKO

  TAMKO JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Of course lazima iwe peku.. sasa kandambili zako mwenyewe utavaaje soksi?
   
Loading...