Tafadhali jibu hili swali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhali jibu hili swali

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tabutupu, Oct 19, 2011.

 1. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Ivi mkeo wako au mume wako ni ndugu yako??

  Fikiria kwanza kabla ya kujibu

  thanks
   
 2. smati

  smati Senior Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si ndugu, ila ni mke wangu. watoto watakao zaliwa ndio ndugu zangu. Kwani undugu hautenganishwi hata kwa mahakama.
   
Loading...