Kuna msichana ambaye nilitokea kumpenda nikiwa kidato cha nne miaka ya nyuma,tukawa wapenzi ila kwa mawasiliano cz mi nilikuwa shule mbali sana na anakosoma yeye.Nilipomaliza kidato cha sita nilikutana naye kimwili kwa mara ya kwanza na alionekana kunipenda kupita kiasi.Kwasasa nipo chuo namaliza mwaka wa mwisho yeye alifeli na kuishia kidato cha nne ila anaonekana kuniganda ili nimuoe wakati sina hata hisia naye tena.Hata akinipigia sitaki kupokea simu yake.
Wana jf nifanyaje ili tuachane coz nashindwa kumwambia ukweli,nahisi nitamuumiza.
Wana jf nifanyaje ili tuachane coz nashindwa kumwambia ukweli,nahisi nitamuumiza.