Jamani ni dada huyu anahitaji msaada wa haraka maana hali ni mbaya!

James St. Patrick

Senior Member
Jun 23, 2011
162
62
Huyu ni kama dada yangu, ni mwalimu wa shule ya msingi katika shule moja mkoani Tabora na kiumri anaelekea 30 hivi, nilimfaham baada ya kupanga kwetu miezi kadhaa iliyopita, ana bwanake ambaye nae pia alikua mwalimu wa shule ya sekondari mkoani Tabora! Tatizo ni hili huyu dada anahitaji mtoto, aliwahi kujifungua mtoto akafariki miaka kadhaa nyuma, jamaa amekua na tatizo upande wa tendo la ndoa baada ya kukataa kumuoa dada mmoja aliyemzalisha mpaka leo tatizo hilo linazidi kuongezeka hata ujauzito wa kwanza kwa huyu dada ilikua ka bahati tu! Mwaka jana jamaa alienda chuo Dom, sasa kila akija hakuna kitu na habari mbaya zaidi ni likizo hii iliyopita jamaa alishindwa kabisa hata baada ya kutegeshewa siku za hatari! Mpaka wanaagana wamekubaliana kwamba kuna dawa jamaa ataanza kutumia ikishikana bora waachane kwa amani, amekua akiniomba ushauri kwa muda sasa mpaka imefikia hatua sijui nimwambie nini, tafadhali naombeni ushauri wenu ili nimsaidie dada huyu! It is a true story, take it seriously!
 
Dini gani dada yako na huyo alienae mumewe au bf? Nipe jibu nikupe ushauri..nina experience na ishu izo
 
waambie waache imani potofu, waende hosp pamoja wapate matibabu. mzizi mkavu sijui yuko wapi nae,lazma kuna dawa ya karanga na asali hivi
 
Kwa nini msiamue huyo 'dada yako' ukampa msaada 'wa hali na mali' ili apate mtoto? Je ulishajaribu kumpa huo ushauri akaukataa?
 
kwa hiyo jamaa anaamini kapigwa misumari? Kwa nini asiende hospitali akaangaliwa?
 
kwa hiyo jamaa anaamini kapigwa misumari? Kwa nini asiende hospitali akaangaliwa?

hatujui lakini ndugu zetu wa Tanga mashahidi kule ukila mke wa mtu umeisha na wale wanaotoa posa na kuingia mitini huwa yanawakuta mambo haya yapo though si issue kuyajadili sana ila yapo kbsaa watu wabaya mwee!
 
Simple!!!
Mlete kwangu akae kama wiki 2 tu mwenyewe utaona mambo.
Ila mumewe asijue please, maana akikuta sura sio yake anaweza kuanza kunitafuta!!
 
Cjakupata hapo,jamaa mdushelele haunyanyuki au hana mbegu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom