Baba wa mtoto wako ni nani???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Ndoa nyingi zimekuwa na msuguano mbalimbali na hii ni kutokonana na ongezeko la joto duniani
lakini pamoja na hayo bado watoto wanazidi kuzaliwa kwenye ndoa hizo hizo za mikeke na basharati
swali linakuja je watoto ulionao baba yao ni huyo wa ndoa ama wakati ukiwa na hasira ukaamua
kwenda chemba na vingast na sasa baba watoto anageuka kuwa baba mlezi...

Je wewe ni mmoja wa bbaba walezi !!!
 
Ukija jua kuwa wewe siyo Baba wa mtoto wako baada ya miaka kumi utafanya nini?
 
teeeheee teehhhh
kama naona watoto wa bujibuji kule ukerewe wakipambana na Mamba lakini Mungu anawalinda kwa uweza wake!!
 
mkuu Likwanda
Hilo nalo neno!!!hapo umesem sio utafute uombe kwa Mungu kwelii mke mwema!!
 
teeeheee teehhhh
kama naona watoto wa bujibuji kule ukerewe wakipambana na Mamba lakini Mungu anawalinda kwa uweza wake!!

Kuna dawa nimewapa inaitwa TILANSIFOMA, wakiingia ziwani hawashambuliwi na mamba, kwani na wao hugeuka kuwa mamba wakubwa zaidi
 
kuna dawa nimewapa inaitwa tilansifoma, wakiingia ziwani hawashambuliwi na mamba, kwani na wao hugeuka kuwa mamba wakubwa zaidi

bujibuji najiuliza zile mbegu zetu tuliokuwa tunamwaaga kwenye plastic tungekuwa tunapa live madadzetu unahisi hata dna ingeitajika maana una uhakika kati ya 7 ,watoto 4 lazima wako
 
hili jambo huwa linawauma sana akina baba hapa utawaona kimyaaa kama hawapo vile maana hata wao hawajui kma watoto ni wao au siyopoleni sana wa kaka ndo tulivyo... wahuni sana sie akina mama lol ila msituudhi sasa maana unaweza lea wote watatu ila si wako ki ukweli
 
Inauma lakini utafanya nini maana mtoto hana hatia mkeo ndo wakudili naye
 
we kitanda hakizai halamu haswa wale walio ndani ya ndoa kila kinachokuja ni chako tu, unaotakiwa ni umakini tu katika kutafuta mke mwema ili yasije yakakukuta.

Kwenye nyekundu hapo, kwanza ni haram na si "halamu".

Ni kweli kabisa kitanda hakizai haram, kitanda pia hakizai halali. Sijaonapo kitanda kikizaa. Wanaozaa haram ni wazazi.
 
bujibuji najiuliza zile mbegu zetu tuliokuwa tunamwaaga kwenye plastic tungekuwa tunapa live madadzetu unahisi hata dna ingeitajika maana una uhakika kati ya 7 ,watoto 4 lazima wako
Mi sijiulizi hilo bali je............ KAMA KILA NGONO UNAYOFANYA UNGEKUWA UNABADIRISHANA C.H.U.P.I KAMA JEZI KWENYE KANDANDA NA UNAYENGONOKA NAYE UNGEKUWA NA C.H.U.P.I NGAPI ZA JINSIA TOFAUTI NA YAKO..??
 
Kwenye nyekundu hapo, kwanza ni haram na si "halamu".

Ni kweli kabisa kitanda hakizai haram, kitanda pia hakizai halali. Sijaonapo kitanda kikizaa. Wanaozaa haram ni wazazi.

Thankx Kwakuni Sahihisha, watu walio ktk ndoa kwa vile anakuwa na mkewe kila siku ndio maana waswahili wanasema kitanda hakizai haram na sio kitanda kuzaa kama wewe unavyofikiria.
 
pole dasa......... i cant feel exactly how much is pianfull ukifanyiwa tukio kama hlo cioa am a women but i can sense with tenderheart ...poleni wa baba na muanzishe chama cha kupinga ukatili huu maana duhkuna rafiki yangu kambandika jamaa mimba na jamaa anavyo hudumia hajui kabisa maskini....
 
hili jambo huwa linawauma sana akina baba hapa utawaona kimyaaa kama hawapo vile maana hata wao hawajui kma watoto ni wao au siyopoleni sana wa kaka ndo tulivyo... wahuni sana sie akina mama lol ila msituudhi sasa maana unaweza lea wote watatu ila si wako ki ukweli

hivi mnadhania huwa hatujui kwamba kuna watu huwa tunawashikia pembe?
 
Back
Top Bottom