Mwanamke na siri...!

Museven

JF-Expert Member
Aug 22, 2011
629
447
Je, ni busara na ni salama kiasi gani kwa mume kumshirikisha mke wake KILA siri aijuayo?
 
kama una mwenza msiri ni rahisi kugundua. manake hutasikia yale uliyoongea naye kwa usiri. kuna wanaume na wanawake wasiri, kama kulivyo na wanaume na wanawake wasio wasiri. inategemea aina ya uhusiano mlionao, usiri ni sehemu ya ustaarabu wa mtu
 
Wengine Wanatoa siri Zao Wakifikiria Ndio Wanaboresha Mahusiano Kumbe Ndio Wanazidi Kulikoroga!! Ila Wahenga Walishasema Hakuna Siri Ya WAtu Wawili
 
kuna wenye siri na wasio......unaweza kufanya majaribio kujua kama mwenzako uliyenaye ni msiri au la..........ukigundua sivyo usimshirikishe kwenye siri zako
 
Pima uzito wa siri.

Sio siri zote unapaswa kushea na mkeo/mumeo. Kuna nyingine unapaswa kufa nazo rohoni mwako.
 
duh! hata siri za ofisini hata kama ni dhaifu unamdokeza na mkeo au mwanamke wako? mijanadume hii inatisha.
 
Kama unataka uhakikishe kwamba mwanamke hana siri, jaribu siku moja kumueleza siri ya uongo tu ya kutunga. Lakini iwe inatisha na umwambie inahitaji usiri mkubwa sana maana inaweza ikakuingiza kwenye matatizo kama itagundulika. Siku 2 baada ya kumueleza hiyo siri, ukirudi toka kazini jioni, anzisha vagi la nguvu na umnase kama vibao viwili au vitatu. Hapo ndiyo ndipo utagundua mwanamke hana siri, maana atatimka kwenda nje akilalama mambo mengi tu ikiwa ni pamoja na kuitangaza hiyo siri yako bila kujali madhara yake kwako.
 
very true!
 
Ila mkuu na wewe siku ukigundua mkeo alikuwa na siri na hakukwambia sababu hakuamini usikasirike, haya mambo ni kuaminiana tu
 
Back
Top Bottom