Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana JF wenzangu? Naimani mmeianza weekend vyema, Nduguzangu mie kunajambo ningependa kufahamishwa inakuaje hapa, nimepata kushuhudia baadhi ya vichaa/wagonjwa wa akili wakiwa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wanawake hawapendi wanaume wanao otea, wanataka mwanaume mwenye subira na anaye fanya mambo kwa uratatibu. Wakati wanaume wanachokuwa nacho makini ni any hole/ opportunity/njia wazi/ au nafasi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
This is my dedication to all JF members! A song sang by Natalie Cole, I Miss You Like Crazy lyrics Even though it's been so long my love for you keeps going strong i remember the things that we...
0 Reactions
3 Replies
768 Views
Hebu tuwape wanawake wa kitanzania haki zao!!!!!!!!!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo usiku wa saa8 nilistuka toka usingizini,kwa kuwa huwa na mazoea ya kumpigia simu mpenzi wangu muda wowote,nikaona si vibaya kumpigia simu na kuzungumza naye(ikumbukwe ni kawaida yetu)...
0 Reactions
78 Replies
6K Views
Nina g.f kwa mwezi wa nne sasa yeye anasoma mkoani chuo fulani.. ni mpole mnoo chochote nitakachosema basi anatekeleza na kiukweli nampenda sana nilimgusia kuhusu kuoana next yr akiitimu akasema...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Who travel for love finds a thousand miles not longer than one sometimes the heart sees what is invisible to the eye It is obvious that all sense has gone out of modern marriage: which is...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Malezi huweza kuwaathiri! Mwanamke ambaye ana tabia a kujilaumu yeye kama mwanamke na kulaani kuwa kwake mwanamke, yuko kwenye nafasi kubwa ya kumuuwa mtoto wake wa kike kisaikolojia...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Kama kubaka ni hali ya mwanaume au mwanamke kulazimisha kufanya tendo la ndoa bila hiyari ya mwingine, basi wanawake wengi sana walioko kwenye ndoa hubakwa na waume zao kila siku. Kubakwa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kuna thread moja nimeiona jamvini kama siku mbili tatu zilizopita (bahati mbaya sikumbuki ilirushwa na nani..., naomba mnisamehe kwa hili). Kifupi mrushaji wa thread hiyo (nahisi alikuwa ni...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
umeenda club huko ume enjoy vakutosha na ukaamua kuchukua dem au msela wa kupunguza maukame ya miaka nenda rudi ......... mnacheza game ucku kucha na kulala fofofo zen mnapoamka asubui unaanza...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
NINA Jirani na ninao ishi kuna msichana (BINTI WA MWENYE NYUMBA NILIPO PANGA), ni rafiki na jirani yangu (tanga). Kitu ninacho shindana naye, anataka nimwoe. Na imefika wakati sasa hataki...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Na watu hao upenda sana vya wenzao, kwa ufupi naweza sema "chako changu changu changu" ndio style yao, kwani kuna mtu anazikwa na pesa au gold,jamani? Some people need change,
0 Reactions
89 Replies
6K Views
Unaweza usiniamini haya niyaelezayo hapa, lakini ni ukweli mtupu na sasa sijui namna ambavyo ninaweza kutoka katika uhusiano huu maana sitaki kumkosesha raha mke wangu, ni kwamba mwaka 2007...
0 Reactions
95 Replies
7K Views
Eishh wakuu natembea na mama mmoja ana 51 years old,nikimwangalia usoni kidogo kazeeka lakini kwenye majamboz kitandani ni mtamu sijawahi ona,mama mwenyewe hataki kuniachia,je nifanye nini?ni vema...
0 Reactions
86 Replies
8K Views
Naishi na Shemeji yangu ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa Kwanza chuo kikuu. Aka kabinti mara mbili nimekakuta chumbani kwangu kanatumia make up ya dada yake akiwa amekaa kwenye kitanda chetu? Jee...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Wadau,kwanza polen sana na mzigo wa deni la dowans!!ni hv,nlikua na gal wangu,baadae 2kaachana na yeye ndo alyekua wa kwanza kuniambia 2achane,tukakatiana mawasliano kwa muda wa miezi 6,juzi...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Katika utafiti uliofanywa na kituo cha kuthibiti magonjwa ya zinaa huko Chicago (CDC) Marekani na kutangazwa rasmi kwenye vyombo vya habari tarehe 11/03/2008, inakisiwa kwamba asilimia 26 ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wakati tanzania ikiazimisha miaka 50 vya vituko na ufisadi,,,naomba jukwa letu tuwaheshimu wote waliofwahi kupitia mizigo na kufikia 50 ama zaidi kwa kuwa wanaimarisha jukwaa letu na kuweka...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…