Offside kwenye mahusiano

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
12,353
16,614
Wanawake hawapendi wanaume wanao otea, wanataka mwanaume mwenye subira na anaye fanya mambo kwa uratatibu. Wakati wanaume wanachokuwa nacho makini ni any hole/ opportunity/njia wazi/ au nafasi yoyote aitumie kufanikisha matakwa yake, bila kujali kesho itakuwaje.​

hisia za mwanamke ziko mbali zinahitaji maandalizi kiakili na kimwili, kitu ambacho wanaume wengi hujikutwa wakipuliziwa kipyenga cha kuotea bila wao wenyewe kujua wapi walipo kosea.

Kwa kawaida ili kuwaridhisha wanawake, fanya yafuatayo.

1. Cheza pasi fupi fupi uwanja mzima.
2. Gawa mipira
3. Akichoka na mchakamchaka wa samba, nenda kafunge goli.

Hii si katika swala la ndani ya chumba kile kikubwa. Hata wale walio na wachumba mmsiende haraka kabla hawa viumbe hawaja jua mchezo wako. Ama sivyo atakutega ufanye kosa karibu na penadi box upigwe kadi nyekundu (kibuti) bila idhini yako.

Wekend njema wana jf.

vieira-france-football-irlande-afrique-2010.jpg
 
Attachments

  • offside1.jpg
    offside1.jpg
    29.4 KB · Views: 29

Magoo

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
72
maono mazuri sana ila mzee wengine kama wanatega vile mkiwa pamoja anakulalialalia kifuani hapo sasa unafanya nini?/ utaendelea na pasi fupi ama ni mashuti tu ya magoli kwa mipira mirefu
 
MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,474
6,534
Mbona umeiweka kama vile wanaume ndio wafanyaji na wanawake wanafanyiwa tu?! Kumbuka huu ni mpira wa wote na kila mchezaji anataka awe mchezaji bora so kuingia uwanjani na guideline yako alokukabidhi Maximo bila kumshirikisha/ collaborate na mwenzako ni wazi kuwa utaendelea kuotea!
 
Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
12,353
16,614
maono mazuri sana ila mzee wengine kama wanatega vile mkiwa pamoja anakulalialalia kifuani hapo sasa unafanya nini?/ utaendelea na pasi fupi ama ni mashuti tu ya magoli kwa mipira mirefu

Ujue hapo anakadi mkononi, jifanye okocha chenga hadi golini
 
Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
12,353
16,614
Mbona umeiweka kama vile wanaume ndio wafanyaji na wanawake wanafanyiwa tu?! Kumbuka huu ni mpira wa wote na kila mchezaji anataka awe mchezaji bora so kuingia uwanjani na guideline yako alokukabidhi Maximo bila kumshirikisha/ collaborate na mwenzako ni wazi kuwa utaendelea kuotea!

Wote mnacheza ila hurka ya wanaume ni kuotea
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom