binamu yangu ana nyumba ambayo anaishi na kupangisha pia. mumewe ni mkali sana hivyo basi watoto wake wa kike uwa hawatoki ovyo na kila mtu pale mtaani ana wasifia kwa tania njema. sasa ana mtoto...
Leo nataka niwape story ya mkasa flani uliyo nikumba kipindi nimemaliza kidato cha sita.
Wakati niko katika kusubiri matokeo ya mtihani wa kidato cha sita nilikuwa sina kazi maalimu hivyo...
Nyie ndoo mnaojua ndoa ni nini. Naomba kuwa uliza jambo moja tuu.
" kitu gani kilikuboa siku zako ulizokuwa honeymoon kutoka kwa mwenzi wako" usiseme hakipo??
Tulimpenda sana, na tulipenda awe sehemu ya familia yetu, nilifurahi wakati ule ambapo ndugu yangu wa damu alipokuja kuniarifu kuwa amekwisha mpa ujauzito ...na wanatarajia kuoana. Hata hivyo...
ndoa nyingi siku hizi hazidumu kwa muda mrefu .Ninavyodhani tatizo lipo kwenye hatua ya uchumba.Swali langu ni hili:Ni mambo gani ya msingi kabisa mtu mme au mke anatakiwa kuyafahamu au...
Nina dem wangu (shori) ambae yuko mbali nami kijiografia na mahusiano yetu yanaendeshwa sana kwa sim, sasa inafikia kipindi inapita siku bila kunipigia wala sms, nikimuuliza kwanini hajapiga...
Nazima Tv, halafu nakwambia kitu!! Picha kwa hisani ya inmagine
Je unadhani wewe ni mwanaume mzuri kitandani? Hapa kuna maswali kwa ajili yako.
Je ni mara nyingi mke wako huwa anakuhitaji kwa...
Inaelezwa kwamba kupuuzwa kwa mila na desturi na maadili ya kidini kumechangia sana kuharibu tabia za vijana ikiwa ni pamoja na mambo ya urafiki, uchumba hadi ndoa. Ndio maana uchumba umegeuzwa...
...pamoja na kupendana saaaaaaana na mke/mume, binafsi nadhani kuna haja ya 'kuungama' kwa mwenza wako katika hatua za awali mfano;
"mwenzangu, pamoja na kukupenda saana mpaka usiku kucha silali...
Nimesikia kwenye vyombo vya habari hasa katika mapitio ya magazeti leo asubuhi kichwa cha habari 'Mbegu za kiume zatumika kwa ushirikina'. Natamani kuifahamu habari hiyo kwa undani kwani inagusa...
Kila mara ninapoangalia movie huwa najifunza mambo mengi. Kwa hii movie waliowahi kuiona,wake/waume, GF/BF/Nyumba ndogo etc inatufundisha nini?
Muwe na siku njema.
Mlawi.
Nilioana na mume wangu miaka mitatu iliyopita,tumebahatika kupata mtoto mmoja.Bahati nzuri alipata nafasi ya kwena masomoni nnje ya nchi miaka miwili iliyopita. Tatizo langu ni kwamba ninashikwa...
Rafiki yangu alifunga ndoa miezi miwili iliyopita na mchumba wake wa siku nyingi.
Kutokana na ukali wa foleni huwa ninakuwepo maeneo ya mjini nikipata moja baridi, moja vuguvugu na nyingine moto...
This is too much...
Hii inshu ilitokea miaka kadhaa iliyopita (miaka kama 18), maeneo ya Dodoma. Asubuhi na mapema dada mtu ambaye wakati huo alikuwa na miaka 3 na mtoto mmoja katika ndoa yake...
Within these last few decades of the Millennium have been horrendously destructive to the ability of men and women to relate, commit and enjoy building and being a family.
Instead of taking time...
Nakutakia Weekend Njema yenye Upendo, Amani na Furaha Ktk Mahusiano yako na Umpendaye Huku Ukiburudika na Kaka Bonn Mwaitege na wimbo wa Mke Mwema Anatoka kwa Bwana