Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Baada ya upweke wa miezi kadhaa nimekutana na mwanaume mmoja hivi (ni divorcee) na tumeanza kudate, tatizo marafiki zangu wananicheka wanadai ni mzee sana cuz ananizidi miaka 15. Is it that bad au...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
mfano cku mungu akasema kila mmoja akamsalimie mpz wake wa kwanza (first lover) ..........hakuna atakaye mkuta wake home mana kila ukifika utakuta naye hayuko kaenda kumsalimia wake na yy huko...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Kila mtu na mtuwe-Isha Ramadhani.mpg - YouTube
5 Reactions
212 Replies
12K Views
JAMANI NATAFUTA KABINTI KAZURI KOKOTE KANAKOSOMA CHUO KIKUU MZUMBE,KWA MAHUSIANO SERIOUS KABISA KABISA NAMI NIKO HAPA MZUMBE KWA SANA.NICHECK AT kulwatz@gmail.com
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Unapomchukia adui yako, haisaidii, sana sana unampa nguvu dhidi yako, dhidi ya usingizi wako, dhidi ya hamu yako ya kula, dhidi ya msukumo wako wa damu, dhidi ya afya yako, na dhidi ya furaha...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Nini tafsiri yako ya mafanikio (yako) kimaisha kiasi kwamba unaamini kwa kufikia hayo utakuwa umefanikiwa!
14 Reactions
119 Replies
15K Views
Kiukweli wadau wote wa hapa kijiwe cha mmu nyie ni rafiki zangu na ninawapenda sana,nimeona si vibaya nikatoa upendeleo juu ya hili swala kwenu kwa wale wanaotafuta kazi kama una bachelor or adv...
4 Reactions
146 Replies
8K Views
Soma huu wimbo na kama yamekukuta haya,unaweza ukatoa chozi,na hapo kwenye red...dah! "Someone Like You" by Adele I heard that you settled down That you found a girl and you're married now. I...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hapa nimetulia kwenye computer lab ya shule moja nimeenda kudowea net sasa wakati nikiwa naendelea wanafunzi wako bizy na hii mitandao .sasa sijui kama kweli watakua wanasoma au ndio hii mitandao...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Namsaka baby msichana awe na umri kuanzia 18-25 asanteni mabinti wa kibongo na sifa zote nzuri nizenu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
When I got home that night as my wife served dinner, I held her hand and said, I've got something to tell you. She sat down and ate quietly. Again I observed the hurt in her eyes. Suddenly I...
10 Reactions
86 Replies
7K Views
Hiyo siyo kauli yangu mimi Mtambuzi, bali ni kauli ambayo inawezekana hata wewe umewahi kuisikia au kuitoa pale unaposikia au kupata tetesi kuwa kuna mtu anatembea na mkeo au mpenzi wako. Mimi...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
MKAZI wa jijini Mwanza, Thomas Jilala (22), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma kwa tuhuma za kumuua anayedaiwa kuwa mpenzi wake, Levina Kiwili (26), mkazi wa Mfaranyaki katika Manispaa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Jaman kila post nnayoangalia naona ni male anatafuta female,post chache sana za females wanatafuta male Haya sasa nawadirect nendeni mwakilaga.blogspot.com huko ndo mtakuta females wanatafuta...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habar zunyu baana. Dunia imefikia kubaya! Kuna dada mmoja rafk yangu huwa tunaongea mambo mbali2. Jana kaniita akiomba ushaur akiwa hajui la kufanya. Dada ni mdogo ndo amemaliza f4 mwaka huu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Natafuta msichana alye chuo mwaka wa kwanza ambae tutakua wapenzi daima,umri 19-22yrz,kawe keupe,kanene kiasi,karefu kimtindo,macho mazuri,nywele ndefu,kawe kakristo,kawe kasafi ka mwili na...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Hello!! Natafuta marafiki wa kuchat nao ningependa zaidi age 17-20 coz age yangu inarange hapo Sibagua jinsia,kabila au rangi. Aliye tayari aniPM
0 Reactions
1 Replies
2K Views
We are all good and always happy with our married lives, but in that room there are many things nobody know... some people snore, talk in their sleep, good manners, bad manners etc i will start...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa Miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana kukupenda kutunzwa na kulelewa na mimama badala ya kuchapa kazi kwa mikono yao na kujiongezea kipato. Binafsi nina orodha ya majina...
0 Reactions
53 Replies
9K Views
naomba ni-share na wanajamvi hiki kisa kinachonitesa kwa saa... Hapo zamani za mwaka 1987 nikiwa nimemaliza fom 4 alitokea kijana mmoja akaniambia ananipenda, let me call him mr. X, wakati huo na...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…