This is for You......

...Ben Pol, mmoja kati ya madogo tight sana ktk Bongo Fleva. Mara ya kwanza kuisikia Beat ya wimbo wake Nikikupata, nikahisi hio Beat imetengenezewa mtoni.
ana kitu kachapa na darasa kinaitwa sikati tamaa.... i love the video maana kuna jamaa ameteseka mule hadi balaa

good talent, but he went back to THT, which is tricky
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom