HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,566
Kwa Miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana kukupenda kutunzwa na kulelewa na mimama badala ya kuchapa kazi kwa mikono yao na kujiongezea kipato. Binafsi nina orodha ya majina ya vijana kadhaa mtaani wenye tabia kama hizi. Mnaweza kunisaidia sababu za tatizo hili?