MMU special offer

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
Kiukweli wadau wote wa hapa kijiwe cha mmu nyie ni rafiki zangu na ninawapenda sana,nimeona si vibaya nikatoa upendeleo juu ya hili swala kwenu
kwa wale wanaotafuta kazi
kama una bachelor or adv diploma ya accounting au
business admn nitumie cv na passport size 3 kuna kazi ipo mkononi mwangu karibuni mwisho saa sita
 
Wooow..
Naamini hakuna chembe ya utani hapa!:poa
Job seekers mshindwe wenyewe SASA...!
Thanx alot Bebii kwa upendo wa kweli kwa wana MMU!
 
Mimi nilivoona heading nikajua umejitoa offer kumbe duh!! Mi shule za kata bwana, cmo!! Na log off.
 
Kiukweli wadau wote wa hapa kijiwe cha mmu nyie ni rafiki zangu na ninawapenda sana,nimeona si vibaya nikatoa upendeleo juu ya hili swala kwenu
kwa wale wanaotafuta kazi
kama una bachelor or adv diploma ya accounting au
business admn nitumie cv na passport size 3 kuna kazi ipo mkononi mwangu karibuni mwisho saa sita

Bebii, Utani siyo mzuri wakati mwingine!

Post saa tatu na nusu - mwisho wa maombi ya kazi saa sita? Ninahisi harufu ya rushwa ya (NGONO)
 
We naona hutaki tupate hiyo kazi
Saa hizi ni saa nne na tangazo ndo naliona mpaka nitoke hapa nikapige picha niandike barua ya maombi na cv ni saa kumi na mbili wakati maombi mwisho ni saa sita
 
we naona hutaki tupate hiyo kazi
saa hizi ni saa nne na tangazo ndo naliona mpaka nitoke hapa nikapige picha niandike barua ya maombi na cv ni saa kumi na mbili wakati maombi mwisho ni saa sita
acheni hzo attach ata kitambulisho cha kupiga kura
 
Kiukweli wadau wote wa hapa kijiwe cha mmu nyie ni rafiki zangu na ninawapenda sana,nimeona si vibaya nikatoa upendeleo juu ya hili swala kwenu
kwa wale wanaotafuta kazi
kama una bachelor or adv diploma ya accounting au
business admn nitumie cv na passport size 3 kuna kazi ipo mkononi mwangu karibuni mwisho saa sita

Umenifurahisha sana...ubarikiwe kwa moyo wako huu..

Kid sis nimeipenda hii....

Sis...sikujua kama familia imetanuka....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom