Ndechumia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,103
- 420
habar zunyu baana. Dunia imefikia kubaya! Kuna dada mmoja rafk yangu huwa tunaongea mambo mbali2. Jana kaniita akiomba ushaur akiwa hajui la kufanya. Dada ni mdogo ndo amemaliza f4 mwaka huu, mjomba wake ana km 45 yrs, na amekuwa akimtaka huyo dada tangia akiwa f1, kila akirudi likizo anakuwa anaomba 'majamboz' sasa dada amevumilia amechoka. 1.hata kumweleza mama yake anaogopa coz mama yake ni mkal sana,2. Kumweleza mke wa anko anaogopa kuvunja ndoa yao. Sasa kanifuata kuomba ushaur nami naona nichukue maon ya wadau wa humu jf