Facebook na mitandao mingine ya kijamii inaharibu watoto wa kiafrica

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
Hapa nimetulia kwenye computer lab ya shule moja nimeenda kudowea net sasa wakati nikiwa naendelea
wanafunzi wako bizy na hii mitandao .sasa sijui kama kweli watakua wanasoma au ndio hii mitandao inazidi
kuchafua kizazi
cha waafrica .Halafu ukiachana na hilo utakuta hata wafanyakazi wa offisi nyingi wanatumia muda mwingi
kweny internet wakichat na kucheza comp game "sijui taifa linaelekea wapi kwa disign hii"
 
wewe kumbe umedoea net sasa inakuhusu nini na wewe ulikuwa jf kwani jf ni nini?
 
Hapa nimetulia kwenye computer lab ya shule moja nimeenda kudowea net sasa wakati nikiwa naendelea
wanafunzi wako bizy na hii mitandao .sasa sijui kama kweli watakua wanasoma au ndio hii mitandao inazidi
kuchafua kizazi
cha waafrica .Halafu ukiachana na hilo utakuta hata wafanyakazi wa offisi nyingi wanatumia muda mwingi
kweny internet wakichat na kucheza comp game "sijui taifa linaelekea wapi kwa disign hii"
wewe ndiyo inakuharibu
 
HIli swali liko so pertinent aisee. Kuna ofisi niliingia hizo site zote zimefungwa na huwezi access (pamoja na youtube etc), wameachiwa mails tu, kama unataka hizo zingine tumia sim yako ya mkononi. wanasema performance imepanda sana na watu wamekua focussed.
Tuchunge sana isiwe ni intellectual weapon ya kutupumbaza ili tusifaidi manufaa ya internet inavo takiwa.
 
hili swali liko so pertinent aisee. Kuna ofisi niliingia hizo site zote zimefungwa na huwezi access (pamoja na youtube etc), wameachiwa mails tu, kama unataka hizo zingine tumia sim yako ya mkononi. Wanasema performance imepanda sana na watu wamekua focussed.
tuchunge sana isiwe ni intellectual weapon ya kutupumbaza ili tusifaidi manufaa ya internet inavo takiwa.
your a great thinker madam yana ukweli maneno yako..
Well developed countries zinatumia kila mbinu kutumbaza hizi social network ni very useful zikitumika ipasavyo na ni tatizo kubwa sana tusipoziitumia ipasavyo...
Facebook,blogs,twitter, myspace ni kazi kwelikweli....
Halafu ni hichi kizazi kinalelewa na technolojia ipo kazi mungu saidia
nawasilisha ...
 
Ni kweli kila kitu lazima kiwe na udhibiti. Afu sisi bongo tunaopokea mabadiliko kwa ghafla ghafla tu bila kujipanga kiinchi ndo noma zaidi.
Kuna nchi zinataratibu katika matumizi ya net kulingana na umri wa watoto.
Ila hatahvyo hapa bongo ni ulimbukeni wa mda tu baadae itakuwa poa kabisa
 
Watu ndio wanaotumia mtandao vibaya.
Wenyewe uko pale kutumiwa vyovyote atakavyo mtumiaji na sio kwamba upo kwenye destructive mode already. Ndio maana sio wote wanautumia wanaharibikiwa....ni swala la uchaguzi wa vipi uutumie n vipi usiutumie linaloamua kama utakusaidia au la.
 
Ni sawa kabisa ila do you trust watu kwa kufanya uchaguzi wa busara? TV tulichagua kwa busara the programs that benefit us au tulichukua tu na ma soap opera yote tukameza? simu, tunatumia kwa business and familly au? kweli kila kitu kina two sides ila we tend to be more attractd with the wrong side Lizzy wangu.
 
na wazazi nao wanatakiwa wa play role yao kwa watoto wao, si kukimbilia kulaumu mtandao
 
Sidhani..........kwa upande mwingine mitandao ya kijamii imewaondoa vijana wengi kwenye kusurf porno graphic material...............tuwe wakweli zamani inbox zetu za yahoo na hotmail zilijaaaaa porn na tulivyohamia huku watu wametumia akili yao kujadiliana na kusalimiana ilhali sasa kwenda kwenye porn ni option na sio the next best thing!
 
Ni sawa kabisa ila do you trust watu kwa kufanya uchaguzi wa busara? TV tulichagua kwa busara the programs that benefit us au tulichukua tu na ma soap opera yote tukameza? simu, tunatumia kwa business and familly au? kweli kila kitu kina two sides ila we tend to be more attractd with the wrong side Lizzy wangu.

RR tatizo ni maamuzi binafsi sio uwepo wa kitu fulani.
I mean ni sawa na kulaumu uwepo wa sumu na kamba pale inapotokea mtu amejiua kwa kutumia kimojawapo.
Uwepo tu wa kitu hautoshi kumfanya mtu akitumia vibaya....ndio maana hata kamba na sumu wapo wanaovitumia kufaidi na kufaidisha zaidi badala ya kujiletea matatizo.
 
Mm nimempiga marufuku, in english, i prohibited her, not restricted, i say prohibited, marufuku kufesibuku panya buku nikikukuta utajua buku si hela tena, maala buku, fesibuku inawanyima washamba/wajinga wasipige buku, na kanielewa, so be firm & strong, hizi technology kwa wajinga ndio wana ongeza ujinga mara buku na kwa waerevu ambao ni wachache ndio itawaongezea uelewa mara buku
 
Back
Top Bottom