Natafuta rafiki wa kike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta rafiki wa kike

Discussion in 'Love Connect' started by Jimmy19823, Oct 30, 2011.

 1. J

  Jimmy19823 Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello wana JF, natumaini muko wazima.
  Mie ni kijana mvulana, ninatafuta rafiki wa kike ambaye tunaweza kuanzia hapo kimahusiano mpaka kutimiza malengo ya kuishi pamoja kimaisha.
  Msichana awe na sifa angalau zifuatazo.
  Imani: Awe mcha Mungu. God fearing lady
  Umri: miaka 22-28
  Tabia: awe mwenye tabia nzuri, mwenye heshima, mwenye haiba, smart, mwenye upendo wa kweli, mchangamfu,
  Elimu: Awe na elimu kuanzia Diploma, hata kama anasoma degree mwaka wa mwisho pia itafaa. Awe na hamu ya kujiendeleza kimasomo mbeleni
  Umbile: Mrefu wa wastani, asiwe mnene sana, awe simple.
  Location: Mimi nakaa na kufanya kazi Dodoma, awe anakaa Dodoma au mikoa ya karibu na dodoma, au awe flexible hasa katika kuja dodoma.
  Kama uko interested, nitumie details zako kwenye e-mail hii luminge82@yahoo.com . Nitakujibu mara moja nipatapo email yako.
  Nawasilisha.
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kweli upo serious maana tangazo lako lina kila kitu isipokuwa hujaeleza kama huyo binti awe dini gani, kama kazaa unalipokeaje hilo?
   
 3. J

  Jimmy19823 Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello wana JF, natumaini muko wazima.
  Mie ni kijana mvulana, ninatafuta rafiki wa kike ambaye tunaweza kuanzia hapo kimahusiano mpaka kutimiza malengo ya kuishi pamoja kimaisha.
  Msichana awe na sifa angalau zifuatazo.
  Imani: Awe mcha Mungu. God fearing lady
  Umri: miaka 22-28
  Tabia: awe mwenye tabia nzuri, mwenye heshima, mwenye haiba, smart, mwenye upendo wa kweli, mchangamfu,
  Elimu: Awe na elimu kuanzia Diploma, hata kama anasoma degree mwaka wa mwisho pia itafaa. Awe na hamu ya kujiendeleza kimasomo mbeleni
  Umbile: Mrefu wa wastani, asiwe mnene sana, awe simple.
  Location: Mimi nakaa na kufanya kazi Dodoma, awe anakaa Dodoma au mikoa ya karibu na dodoma, au awe flexible hasa katika kuja dodoma.
  Kama uko interested, nitumie details zako kwenye e-mail hii luminge82@yahoo.com au unaweza kuniPM. Nitakujibu mara moja nipatapo email au PM yako.
  Nawasilisha.
   
 4. J

  Jimmy19823 Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo binti kimsingi awe hajazaa, halafu dini ni mkiristo (mie ni RC)
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We sifa zako ziko wapi??
   
 6. Triple A

  Triple A JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 750
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hakuna vigezo vyovyote vya rangi kwa maana ya mweupe au mweusi? Vp kuhusu kabila?
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Mtaani kwenu hakuna wanaofaa au wote wamekukataa.
   
 8. J

  Jimmy19823 Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sifa zangu zinaendana na hizo tajwa japo juu..lakn ukitaka kujua mengi kuhusu mm unaweza kunitumia mail au kunipm
   
 9. J

  Jimmy19823 Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rangi sio isssue sana ila akiwa maji ya kunde hivi poa pia. Kabila... yale makabila yote yanayokubalika kwa tabia nzuri na heshima.
   
 10. O

  Othman Kh Rajab Member

  #10
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @Jimmy! Mdg wng am just edge a wills to u, mke kw maana halisi ya mke kumtafuta kw style unayoitumia am sure si njia sahihi coz those c.v which you mentioned abt, it's not easy 4 a lady 2 express behavior herself! Try 2 find a wife 2 b around ur view site "physical" hii habari ya mitandaoni it's not perfectable so far.
   
 11. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Atakuja msubiri kwa hamu....
   
 12. G

  Grey87 Member

  #12
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daaah!hum hamna duu mwny cfa hzo,afu weng hum wameolewa wachache 2 ndo wameachika na walio achka wanavijeba vyao,na wajane ila wakuhesabu,so cdhan ka utafanikiwa,ukikosa kbsa unichk ntakuhlp
   
 13. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ushazoea vya kuchinjwa vya kuwinda huwezi..nafkiri ukipost kule fcbk utapata mrejesho fasta
   
 14. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Better tel'em lest 'em fal'on his shit.
   
 15. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  shinda humu humu JF daily bila hata kulala utampata tu.
   
 16. zakiyah

  zakiyah JF-Expert Member

  #16
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 284
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  duh! jimmy vigezo vyote vimo dini tu tumepishana ngoja nikuchikie kwetu huku.
   
 17. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,044
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  mi nataka vigezo kama hv ila awe islamic,umri kuanzia 18-24,naishi Dar nipo moshi kwa sasa!changamka Zakiyah...niPM
   
 18. zakiyah

  zakiyah JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 284
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  nirushie namba dully we miaka mingapi? elimu? kazi?
   
Loading...