Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usifanye hili kosa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masikini_Jeuri, Nov 4, 2011.

 1. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,818
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  [h=6]Don't marry anyone that you don't know what happened to their last relationship.ONE'S RELATIONSHIP HISTORY REVEALS ONE'S CHARACTER[/h]
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,705
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  ahsante.
  lakin mtu anachange acc to time,place an space...na inawezekana kule alikuwa vile..aliact vile kutokana na sababu a,b,c...so kwako kuchange kuwa mbaya au mzuri inawezekana kutokana na atakayoyakuta kwako.

  so sometimes haiwi kwamba kwa vile alikuwa mbaya UKO ALKOTOKA BAS ATAKUWA MBAYA NA KWAKO...anaweza akachange

  na usitegemee alikuwa mzuri kuile basi kwako pia atakuwa mzuri..
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,071
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Ila watu wanabadilika bana
  Ndio at first place unaweza ukawa humjui vizuri ila kadri mnavyokaa nae ukamjua na ukajikuta unampenda
  Sometime watu wanabadilika hata wale ambao tunasema tunawajua unajikuta kumbe uliingia chaka humjui
  So with time i believe that watu wanaweza ishi pamoja
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,369
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  binadamu si ng'ombe kwasababu huwa anabadilika. Nalog off
   
 5. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,612
  Likes Received: 1,001
  Trophy Points: 280
  Yeah_moja ya tofauti ya binadamu na mnyama ni kwamba binadamu anaweza kubadilika.
   
 6. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,818
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  mbona mnajadili as if kujua one's past charcter ni dhambi? sijasema ni dhambi unachopaswa ni wewe kuijua iwe mbaya ama nzuri
   
 7. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  usiku mwema bandugu! najiandaa na weekend!
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  :focus:
   
 9. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,879
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  I think katika watu waliowahi kunena most important advise kuhusiana na mahusiano this tops it by far!!! Hongera mwana
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,718
  Likes Received: 3,610
  Trophy Points: 280
  binadamu anacheza kuendana na mziki unaopigwa.
   
 11. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ok......ila anabadilika mtu bwana
   
 12. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 712
  Trophy Points: 280
  A human being is not like a machine.BYE
   
 13. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #13
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Watu vinyonga ndugu yangu!!.
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kwamba binadamu anabadilika kulingana na hali ya maisha, mahali, nafasi, uwezo, nk. Lakini kwa binadamu mwenye utu moyoni, na mwenye hofu ya mungu moyoni mwake, mazingira yoyote hayataweza kumbadilisha. Watch it out.
   
 15. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #15
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,544
  Likes Received: 1,259
  Trophy Points: 280
  its frahidei pipoooz.mwendo wa NYAGI DRY.
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,741
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  umeongea vyema. Naomba nikuzawadie KISHINDINDO.
   
 17. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #17
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,037
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Yah!Lakini wakati mwingine ni ngumu sana kutrace backgrond ya mtu!
   
 18. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,769
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Petro alimkana Yesu mara 3. Lakini alikuja kuwa the first POPE of catholic Church.people do change! Mazingira and time do make some one change.ndo maana unamtoa demu bush,unakuja nae mjini Kama Dar,baada ya mwaka anakuwa wa mujini inakula kwako.binadamu atabiliki
   
 19. NGOSWE.120

  NGOSWE.120 JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  vipi mrembo tunaweza kuwa na mtoko wa pamoja baby! missing you so much!
   
 20. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #20
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,208
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  heshima yako mkuu
   
Loading...