I have never been the likeliest person in this thing colled 'LOVE'

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Nimeamua kujikalia zangu pembeni tu na kujipenda mwenyewe.
 
I wanted to help but i found your post so generic....unaweza ukajaribu kuelezea angalau kwa undani kidogo some circumstances ambazo zimekufanya uka-draw conclusion ya namna hii? Kwa mfano inaweza kuwa u hate women so much, you do not treat them well, you have never been able to forgive them, you just like to be alone and when anybody comes close to you unaona kama anakuharibia utulivu wako, inawezekana kuna influence ya age kwa wale ambao tayari umeshajaribu "wakupende"....kwa hiyo ukiexpand post yako itasaidia ku-pick scenario ambayo itasaidia mtu kukusaidi kwa ushauri sahili

Unless otherwise iwe ni taarifa tu na sio ombi la msaada wa kimawazo na ushauri
 
wananipa headache,yan kila ninae mpata sidumu nae,wanataka vitu ambavyo mim siwezi kuwatimizia,so bora nijitoe tu kwenye hyo ligi ya mapenzi mkuu.
 
Unadhani tatizo ni nini?

Does it has to do na makosa ya kuchagua au? Kuna maelfu ya wanawake out there ambao ni wa type yako ambao hawahitaji hivyo ambavyo huwezi kuwatimizia...isiwe tu huwezi kuwatimizia kwa maana ya kimapenzi na sio other material thing

Unadhani hao wa type yako hawapo kabisa? Hapana, usi-give up, you can find one cha muhimu ni selection yako

Ntarudi baada ya muda
 
wananipa headache,yan kila ninae mpata sidumu nae,wanataka vitu ambavyo mim siwezi kuwatimizia,so bora nijitoe tu kwenye hyo ligi ya mapenzi mkuu.

umejaribu kuangalia aina ya wanawake unaowatokea?...au wewe mwenyewe unabehave vipi pale unapowatokea?.....
 
Utakuwa umefanya la maana sana kukaa kimwenyewe. maana hawa watu wa upande wa pili ni wasanii sana.
 
umejaribu kuangalia aina ya wanawake unaowatokea?...au wewe mwenyewe unabehave vipi pale unapowatokea?.....

haaah haaah kweli hili nalo swali! Sio atokee watoto wapenda pesa halafu iwe jamaa yeye uwezo mdogo.
 
Back
Top Bottom