Nyimbo zetu Praimary sent kayumbaa..enzi izo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyimbo zetu Praimary sent kayumbaa..enzi izo!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mkonowapaka, Nov 5, 2011.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  jamani leo nimekaa na dogo mmoja apa home anasoma hizi sent nanihii with usafiri hadi mlangoni..mara ghafla inanijia picha enzi izo nasoma vidudu hadi primary kulee kijijin kwetu....aah nimecheka sana!!

  kwanza kulikua na vinyimbo flani hivi common sana kuimbwa achilia mbali ngoma za kutamaduni na mambo kama hayo...mtaniwia radhi sent nanihii...

  ujue kwanza ile asubuhi ilikua lazima ubebe kuni na maji hawatajali umevaa ndala wala raio..uache daftari kwenu uje na kigazet they dont care..kali zaidi kipindi cha mavuno mnabeba mazo mnapeleka shule...wee mwalim nanihii wewe ndo maana huzeeki!!

  nirudi kwenye nyimbo sasa:

  wa kwanza:'kijani kibichii chaa mplilipiiili shule yetu ina raha mama weee iliyo kando yaa barabara..kando ya elimu yapita bila shiidaa...'sijui inaendeleaje apo

  mwingine ule wa kuagwa saa 6 hahaa.......'saa imefiika ya kweenda nyumbaniii..mama amepika waali na nyamaa na nini sijui,..'baada ya hapo ni mbio hadi kwenu..hahaaaaaa maisha yale najua bado yapo lakini very interesting!!!

  tukumbushane baadhi ya nyimbo zingine..........wale wa st nanihii samahanini kwa leo!!mnajua Musa Neema and Baraka kwanza>??

  hahaaaaaa wkend njemaaaa
   
 2. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Unanikumbusha stori za Juma na Roza,Damasi na Lusi,,,,na adhabu za kushika masikio.Du!
   
 3. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nakumbuka moja, "Mabata madogo madogo yanaogelea, yanaogelea ktk shamba zuri la bustani. Yanapenda kulia kwakwa-kwakwa, ..."

  Ok nimekumbuka na mwingine, "Maua mazuuuuuuri yapeeeeeendeza, ukiyatizama yanameremeta ......".

  Du shule enzi hizo ilikuwa poa sana!
   
 4. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Alisemaaa alisema
  alisema nyerere alisema
  vijana wangu wote mmelegea
  ni sharti tuanze mchaka mchaka ... chinja
   
 5. jacjaz

  jacjaz JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Dah,KWELI NI KITAMBO CHA AINA YAKE! ILIKUWA RAHA JAMANI.....
   
 6. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Kibangaaa ampiga mkoloni, kibanga ampiga mkoloni.....................

  Pia kuna mmoja tuliwahi kufundhiswa kumuimbia Mrema wakati ule akiwa waziri kwa mzee mwenye kabla ya vyama vingi "......Tunamsifu Mrema, kama alivyosema kuwahi makazini, baba Mrema hongeraaaaaa...." long time kitambo
   
 7. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Enzi hizo tukimaliza masomo lazima tuimbe wimbo huu "Sasa sasa saa ya kwenda kwetu kwaheri mwalimu kwaheri tutaonana kesho!" Kesho, kesho.................... Tukitoka hapo ni nduki hadi home, kuwahi msosi kabla haujavaa koti.
   
 8. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Nakumbuka zile story za Mussa na Neema na Mdogo wao Baraka na Baba yao Mr. Daudi na Mama yao Mrs. Daudi.
  Unakumbuka ule wimbo wa kumuimbia Mussa:
  ''are u sleeping*2 brother Mussa*2,morning bells are ringing,ndindondi''.
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Sikiri na Sadiki, darasa la 3.
  Mimi ni Mariam, mwanzo wa mwaka huu nilianza shule, chopeko na mnofu darasa la 2, mpapai na upepo, maskio ya mfalme marefu....

  Duh, ilikuwa nzuri sana, kidumu cha maji daily, ufagio wa nje daily, kuni kila jumatano, jembe msimu wa kilimo, kukaguliwa usafi wa kucha, meno, na nguo. Kama huna mfuko wa madaftari unabeba mgongoni.
  Kipndi hicho kila takataka inaliwa maembe mabichi, limao, tunda pori zote, dengu za kukaanga, vibalagala, n.k
   
 10. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu kijijini kwenu kulikuwa na vidudu?naomba muongozo ni kijiji gani hicho au kijiji cha makumbusho pale kijitonyama??
  enzi hizo kulikuwa na shule bwana english media ni kama arusha school na sio vi sant nanihii vya sasahivi.
   
Loading...