Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

ni makosa makubwa kwa mtu yeyote kukujua au kujua id yako hapa jf kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook yaani ananifatilia sana halafu inaonekana ni mfuasi wa magamba...
8 Reactions
87 Replies
7K Views
Hi guys!! Najua kwamba wote tuliomo hapa tumeshaishi na kujifunza mambo mawili matatu kuhusu maisha. Katika maisha yako so far ni lazima umeshapata mafanikio makubwa au madogo ...umeshashindwa...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
  • Closed
NITAIFANYA BIG DAY YAKO IWE NZURI
0 Reactions
46 Replies
7K Views
1 - First Important Lesson - Cleaning Lady. During my second month of college, our professor Gave us a pop quiz. I was a conscientious student And had breezed through the questions until I read...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna wengine kazi wanasema ni muhimu sana, kuna wengine wanasema familia ni muhimu sana, la mwisho vyote(familia &kazi) ni muhimu. Sasa kama mtu ambaye ameweka kazi kipaumbele zaidi kuliko familia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Takribani miaka mitatu sasa nimekuwa msomaji mzuri sana wa hili jukwaa (MMU) na baada ya kupitia "threads" takribani 500 nimeona kuna kitu kimoja kinachofanana sana katika hizi "threads"... Nyingi...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Kila mara wanaume tunapojadili masuala ta ndoa na matatizo yake.. ni kawaida mno kwa wanaume kutaja TALAKA kama moja ya suluhisho kwa wanaume kumshauri mwenzio 'kutoa talaka' akiona hakuna namna...
14 Reactions
239 Replies
17K Views
  • Closed
Habari za asubuhi wadau,napenda kuwajulisha kuwa Baba yetu Mzee Mtambuzi amepata ajali asubuhi ya saa kumi na mbili leo ya kugongwa na gari daladala T.837 AUK na wakati akivuka barabara maeneo ya...
6 Reactions
202 Replies
13K Views
Mimi ni mvulana nina miaka 27. Kwa umri huu nilionao nimisha lamba wasichana sita hadi sasa,cha ajabu kati ya hao hakuna alienitongoza hata mmoja ilikuwa ni kiherehere changu changu ndo maaana...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Jamani naomba mnisaidie kwa ushauri ili kufanikisha ndoto yangu.mm nina miaka 25, nina elimu ya chuo kikuu, ninatafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:- *awe na umri usiozidi miaka 22 *awe ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani naomba tufahamishane labda mimi huwa nafanya makosa. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume walioko ndani ya ndoa ni nani anayepaswa kumwambia mwenzake kuwa nahitaji kufanya tendo la ndoa...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
MWAMBIE HUYO UNAYE MPENDA UMEPEWA BURE TOA BURE. MASHARTI KUZINGATIWA. HAVE GOOD MOMENTS
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana JF Rafiki yangu mpenzi amekwama, ana huzuni kubwa sana ya yaliyompata. Naomba ushauri wenu. Sitaweza kueleza kila kitu. lakini ni long story. Kifupi. Ana jamaa ambaye ni mume wa mtu...
2 Reactions
76 Replies
8K Views
mpenz wako anatakiwa akufanyie nn ili ujue kweli anakupenda sana na kila neno analosema juu yako kweli lamtoka moyoni.......msinishushue naitaji tu kujua ..natanguliza shukurani zangu za dhati...
1 Reactions
72 Replies
5K Views
Chukulia kwa mfano unamtumia hawara yako msg ya mapenzi halafu bahati mbaya unaisend kwa MKWEO utafanyaje?msg yenyewe ni ya mapenzi!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nielewesheni mtu ukiachwa unakuwa unajisikiaje ili nijihami niwai kuacha badala ya kuachwa
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Watu wengi tumewaona kwenye ndoa wakiishi katika hali tofauti za maisha, wako wenye fedha na wasionazo, wako wenye furaha na wasio na wasionao. Yote hii huweza kuchangiwa na sababu nyingi ikiwemo...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwanza anza kujipenda wewe mwenyewe. Kama wewe mwenyewe hujipendi, usitegemee kuwa wengine watakupenda. Ukimudu kujipenda, utamudu kumpenda kila mtu na suala la kuolewa na nani, linakuwa halina...
5 Reactions
44 Replies
12K Views
Jamani naingia kwenye hili jamvi nikiwa na masikitiko makubwa.mwenzenu nina tatizo ktk mahusiano yangu ya kimapenzi,mwenzenu nina tatizo la kuachwa na wanawake kisa kwamba sijatoa go**i na kwenda...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mbarikiwe wote Wana JF! Leo nakuja kwenu kuomba ushauri, natumaini kwa kutumia uzoefu,ujuzi na Upendo mtanipa suruhisho! Nimienzi kama mitatu hivi tulitofautiana na msichana niliyetegemea...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…