swali kwa akina dada tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

swali kwa akina dada tu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jakubumba, Oct 27, 2011.

 1. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mimi ni mvulana nina miaka 27. Kwa umri huu nilionao nimisha lamba wasichana sita hadi sasa,cha ajabu kati ya hao hakuna alienitongoza hata mmoja ilikuwa ni kiherehere changu changu ndo maaana kuwaaacha haikuwa shida! Je inamaana akina dada hamjui kupenda mpaka msubiri mpendwe? Mkisha pendwa ndo mnaleta taaabu nyiiingi na kuonyesha kuwa ninyi ndo mnapenda zaidi ya hata aliekuambia kuwa anakupenda? na kama kweli mnakuwa na upendo wa dhati kwa nini basi macho yetu yote yanaangalia mifukoni mwetu? Nawakilisha maana nimechoka kupenda nasubili kupendwa!!!!!!!!!!!
   
 2. Beautiful Lady

  Beautiful Lady Senior Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmmmmh............!
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mwanamke hatongozi bali hutongozwa,na kama wanawake hao uuliokuwa nao walikuwa wanaangalia mfukoni mwako basi ujue wakati unawatongoza ulitumia nguvu nyingi za pesa kuwapata na wao walikuwa wanamaintain status tu.
  Kuwa makini na maisha yako na tulia na mwenzi mmoja.
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  karibuni kina dada mjimwage.
  Angalizo: at 27 wewe sio mvulana,ni kijana.Mvulana ni teeneger,you are way past utineja.
   
 5. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  We ukija kwa gia ya viela vyako vinakombwa kwelikweli hakuna huruma kwenye ilo. Pili itakuwa ngumu kwako kupendwa coz we mwenyewe unatakaga upendewe viela vyako.
   
 6. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Jakubumbaaaa, njoo basi nikupe hug zito, unajuaga nakupendaga sana. Usisahau kadi yako ya atm eee mpenzi.
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Umesha lamba??? Hivi kwa nini nyie guys hutumia lugha ya dharau kiasi hiki jamani?? Kwa haya maneno uloandika hapa, una haki ya kupata wengine 6 wapiga mizinga!
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sugarcake ndio nini sasa hebu njoo huku nimekuletea kitenge cha wax
   
 9. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Yap kweli mazee,kumbe mie kijana
   
 10. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ni wapiumepata hayo maandiko kuwa mwanamke hatongozi? Ninachojua mimi kutongoza ni kuelezea hisia zako za upendo kwa mwenzi wako, so unataka kuniambia kuwa mwanamke hata hilo linamshinda? hebu nipe maana ya kutongoza labda nitaelewa zaidi.
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  umelamba? Au umelambwa? Upuuzi mtupu????????
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Alikuwa analamba(kama alivyoandika) halafu wenzake wanakomba wallet! Ngoma bila bila.mia
   
 13. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  unapenda kadi yangu au mimi? mmmmmmmmmmmmmmmmmmh
   
 14. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Sitongozeki ng'o!
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Utaipenda utaipenda.....I know you gonna like it
   
 16. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  napita,but i like it.
   
 17. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  We hata uandike kijerumani.......umechemsha!!
   
 18. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nakupa pole sn,ila kupendwa au kutapeliwa kwa kugeuzwa ATM inategemea ww unamwingiaje bint coz huwa tunawaangalia kutokana na aina ya mwanaume tunayekuwa tunamuhitaji maishan,so km umekuja kwa style ya kujiadvitize na kujifanya hela yako ndio inamwaga mistari ambao wengi wenu mnakuwa malimbuken na hamna mapenz ya kweli utapokelewa kwa koras ya kuonyeshwa matumizi na utatumiwa kweli na ukifulia unatoswa vilevile,na ukija kiuanaume kwa sera zinazoeleweka na uonyesha kupenda kweli kwa nn usipendwe,jipange kijana ukisubiri kupendwa utasubiri sn!
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Maswali mengine kazi kweli kweli...
   
 20. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  senkiyu
   
Loading...