Hivi kuachwa unajefeel vip

kukumdogo

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
2,866
2,742
Nielewesheni mtu ukiachwa unakuwa unajisikiaje ili nijihami niwai kuacha badala ya kuachwa
 
mpk umehisi unataka kuachwa basi ujue mwenzako ashakuacha kitamboooooo..so io idea ya kujihami et uwai kumuacha aiwez kuwork apo...

uyo mwenzako ashakuacha kitambo sema tu alikuwa mstaarabu kwamba NGOJA NISIMWAMBIE YEYE MWENYEWE ATASOMA SITUATION...atajipimia..so wewe ukijifanya ahh bwna tuachane mwenzako kwake ushindi that yappp..kalielewa somo....

NASKIA KUACHWA KUNAUMA SANAAAAAAAA....sjui inakuaje lakin mi apana jua...
 
ahahahahaha! hayo ni maisha unayopaswa kupitia, kuacha na kuachwa, ni njia sahihi ya kujifunza ulimwengu, niliwahi kuacha nikawa sijahisi chochote coz mimi ndo niliacha na niliacha kwa sababu ya tapeli aliyevamia penzi langu (demu mwingine), baadae na mimi niliachwa na huyo alosababisha nimuache mwenzie, inauma kupitiliza, ndo maana wengi wanakunywa sumu, cha msingi ukiachwa jitahidi kusema kwa marafiki zako kuwa umeachwa kuliko ku'hide vitu unaumia mwenyewe rohoni mwisho unajinyonga, ahahahahahaha! dah! nikikumbuka enzi zangu nacheka maana kumbe ilikuwa ni afadhali nilivyoachwa,
 
Kila jambo na wakati wake!
Kuna wakati wa kupanda, na wakati wa kuvuna,
Wakati wa kupendwa na wakati wa kuachwa.

Ukifurahi leo ujue ipo siku utasikitika tu!

Kama ni kupenda niliwahi kupenda, niliwahi kupendwa, niliwahi kuacha, niliwahi kuachwa. Na baada ya kupitia mambo yote hayo, sidanganyiki tena - dem wa kunambia ananipenda huwa namkatalia kabisa, ila wa kuniambia anataka kampani yangu ndo namjua kuwa ni mstaarabu.
 
Kuachwa mwenzangu Mungu asikujalie hata adui yangu simuombei awache hasa ukiwachwa wakati bado moyo unapenda,unaona wazimu si wazimu hujielewi hasa nafsi yako lakini ukishapona hapo duh! alokufa mungu amrehemu unakua kama Simba hasa kwa upande wangu mie wengine sijui...
 
mi pia natamani siku niachwe ili nijue maumivu hata kidogo maana sijui inakuwaje ukiachwa
 
Me naachwaga na me naacha,so moyo wangu ushakua sugu wa hayo mambo kwa hyo cjifil chochote.
 
The song:
kuachwa kuachwa ni kubaya sana mbaya zaidi kwa yule uliyempenda
ww unakonda ye ananenepa kwa mawazo.

acha kabisa hii kitu

miaka mi5 iliyopita niliachwa na myfirst boyfriend

nilikonda jamani kwa mawazo why me...lkn nikampata anayenipenda kwa dhati ikawa raha mustarehe

ni kawaida tu waweza sema ntangulie kuacha huku mtu unampenda ,oyo ukawa unakushtaki inatakiwa ukabiliane na hali zote
 
hivi huyu mchumba wenu TF anachumbia wangapi,naona kama anawazunguka hivi...du! au macho yangu?
Bishanga banaa kwani wewe hausikii serikali kabla ya kujenga barabara huwa wanafanya Feasibility Study kwanza
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom