Atamjuaje baba wa Mtoto???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Atamjuaje baba wa Mtoto????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sumba-Wanga, Oct 26, 2011.

 1. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wana JF Rafiki yangu mpenzi amekwama, ana huzuni kubwa sana ya yaliyompata. Naomba ushauri wenu. Sitaweza kueleza kila kitu. lakini ni long story.

  Kifupi. Ana jamaa ambaye ni mume wa mtu. walianzana naye kama 4 years ago. wakati anamfuata, jamaa alisema kuwa hana mke kwa sasa. Mkewe alifariki. Jamaa alionyesha mapenzi makubwa sana. Baada ya miaka 2, dada akajua kuwa jamaaa ana mke. Kila alilifanya dada ili kumtema jamaa, imeshindikana. Jamaa ni kinganganizi, amejipeleka kwa ndugu wote wa dada eti anadia anataka kuoa. Jamaa habanduki kwa dada, kila siku yupo,. Jamaa ana wivu, dada hana rafiki wala nini! dada hana hata nafasi ya kupata mchumba.

  Ikatokea bahari dada amekutana na mtu ambaye wanapanga kuoana, shida atamtemaje jamaa, ambaye yuko violent na anakaba hata corner?
  Sasa dada akapanga kuzaa na jamaa ili mimba ikitokea amwambie jamaa ili waachane. Bahati nzuri dada akafanya mapenzi na mchumba siku ya 10 na wakafanya tena siku ya 13 machana. Bahati mbaya siku hiyo hiyo ya 13 jioni jamaa akaja, na dada hakuwa na ujanja wakafanya mapenzi usiku. Dada ikamuuma sana, kwa kuwa hadi sasa hajui baba wa mtoto atakuwa yupo. Mzunguko wake ni 28 days. Msaidieni wana JF, msimcheke, msimchambe, ni ya dunia haya!
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Dah! I feel for the lady jamani.... Kuna wanaume Ving'anga'nizi waweza mlaumu huyo dada but ukweli unabaki mwanaume kama huyo kazi ipo kumpotezea...

  B2T Kama alishapanga azae na huyu jamaa mpya, that is well and good. But hio mimba hata kama ni ya jamaa mpya huyo jamaa wa kale hawezi elewa ataona kama anapigwa tu changa la macho, hivo it is better mdada ajiandae kwa DNA test mtoto atapo zaliwa... Hata hivo pamoja na matendo yoote ambayo jamaa anamfanyia ama niseme kumng'ang'ania naona huyo dada bado anampenda huyo mme wa mtu na hicho ndo kinamfanya ashindwe kutoa maamuzi yenye msimamo...
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mmh..siku hiyo hiyo kalala na wanaume wawili bila kinga yoyote?? Kwa mtindo huu hatuponi kabisa!!
   
 4. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Sasa kama alipanga kuzaa na jamaa yake mpya angetumiaje kondom? na pia, huyo kinganganizi naye anataka mtoto, alikua dada yuko kwenye denger days, hivyo na yeye alingangania yango na yango! Ndio kinachompa dada huzuni!
   
 5. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Yaan mi nashindwa nimsahuri nini huyo dada maana kwanza mi naona hana msimamo...kwani ni mtoto kiasi cha kulazimishwa sijui kung'ang'aniwa kulala na watu wawili kwa siku moja looh sijui ..ngoja waje wazoefu labda...
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hivi huyo jamaa angemkataa (mume wa mtu) angemuuwa au? Maana kama ni kipigo tu angemfikisha polisi. Kwa nini tunaogopa kutumia vyombo va sheria?
   
 7. bulldoza

  bulldoza Senior Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo hana lolote alijua fika kuwa ni mme wa mtu sasa kachanganya madesa walewale kikazi zaidi.. AWAPE ZAMU WA MTOTO WA KWANZA AMPE MCHUMBA NA MWAKANI ACHUKUE MIMBA KWA WOTE MTOTO AMPE MME WA MTU .....
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  DNA bmkubwa apo inafaaa zaid

  sjui ahakika ya DNA bt nimeskia wanaweza fanya ata km mimba i tumbon si lazima usubiri mtoto

  km ndivyo ivo bas we mpange jamaa jifanye twende tukapime damu...HIV....kisukari sjui...chochote kila kitakachotaka damu basi ongea na dokta damu aifanyie mambo..na wewe utatolewa majimaji ya tumbon sjui nini wao wanajua bwan watakufanyia mambo ili uwe na amani..manake kwa presha+sononeko ulilonalo kuna athar kwa mtoto tumbon....

  pole.manake siku ya klinik jamaa akitaka kukupeleka klinik afuu uku nako njimbi ingne inataka kukupeleka na akitaka kuona kadi ya klinik akiona jina si lake ...patachimbika...dah pole bwana

  ol we made/make mistakes..tak t eaasy n relax sweet hat...pole mami.
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  mhh wew usiseme ivo jaman...chek situation ..angekuwa anajua km ana mke asingejiweka ivo..afta 2yrs ndo anajua na jamaa agressive atak kuachwa sa afanyaje?
  yupo kwenye dilema...angekiuwa anafuraia isingemdatisha mpk aombe msamaha cz angeoana yap mtaj tayar wa kudai nyumba mbez...

  usimuhukumu...kuna wanaume waongo wewe anakwambia SINA MKE kumba ana wake watatu......afu auon ata dalili km ana mke..ukishawekeza hisia badayeeee ndo wajua....
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Asha,hiyo DNA sample za wanaume zake ataipataje? halafu siku hizi DNA test nasikia mpaka kwa order ya mahakama,ataipataje hiyo order?
  Halafu nyie kinamama kwa kuteteana mmezidi,yaani mnaona kabisa mwenzenu kalikoroga lakini mmo tu mnatetea,kha! alishindwa nini kumwambia huyo mme wa mtu kuwa 'anaumwa kichwa?' mtaka yote tu huyu , aende zake huko.
   
 11. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135


  Rose!

  God was very brave to create people like you! My friend, who is reading these messages, will be very happy for your support!
   
 12. bulldoza

  bulldoza Senior Member

  #12
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ooh kumbe Rose mnafahamiana eehee...we unavyosema uuna huzuni kubwa wakati unachanua miguu hiyo huzuni alienda wapii?halafu huna haya kusema mme wa mtu anataka mtoto we ushakuwa mkewe ukamzalie pumbafu kwanini umekuja kuuliza hapa kama unajijua kuwa wewe ni incubator?pelekeni maujinga yenu huko
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  DNA inafanyika kwa mtoto tumboni

  Hana haja ya kuwatoa damu hao wanaume, anaweza kutumia kama miswaki, nywele zao kupeleka.

  Ili asijichangane ningemshauri apeleke nywele za mmoja tu, na majibu yakitoka atajua baba ni yupi.

  Ila ushauri mwengine ni kuwa aache tabia hiyo....haikubaliki
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  1.uelewa mdg wa sheria na vyombo vya dola
  2.kuona aibu akimfukuza kwa nguvu jamaa atamfanyia fujo..so unakufa na tai shngon
  3.uenda aliamini wth tyme jamaa ataeleea na kumwacha huru
  4.kushindwa kujitambua kwa muhusika ..akuatambua haki na thaman ya mwil na utu wake na haki alizonazo juu ya maisha yake..so alikuwa na jamaa mme wa mtu kwa kumpliz yey wakat anajua kabsa ni kipangamizi cha maisha yake na mipango yake ya kuoana na jamaa yake mpya
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dah so gud
  nazan umemsaidia vya kutosha sana..afanye ivo..apeleke nywele zao...
   
 16. bulldoza

  bulldoza Senior Member

  #16
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka sijaona kitufe cha like..Thanks bana wanaboa sana hawa ndio wanaharibu sifa za dada zetu wale wa maana
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dah ahsante kwa matusi yako kakayangu.ubarikiwe.


  1.simfahamu muhusika ata kdg..najaribu kuwa fair accordingly..siwez nkamuhukumu..as long as ashasema amekosa..na anaomba msaada..hakuna mtu anayetaka apate matatizo km ayoau yeyote yale...shit do hapen..kwa kujua au kwa bahat mbaya

  2.kuwa muungwana ndugu..mtu akiomba msaada mpe na si kuanza kumkejeli..kumsimanga....MI MKRISTO SO TO SAY hatuna formula ya akifanya baya mlipe baya...ukiombwa ushauri na mwizi jins ya kuacha wizi basi ni vyema ukamshauri na si kuanza ahh we asi mwizi tu..kwan ujui kuiba vbya...AS LONG AS AUKUJUA KTK MAZINGIRA GAN YAMETOKEA YAKUMTOKEA..


  nawasilisha.
   
 18. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  si km kuteteana ...mtu akikosa na akikiri amekosa kwa muungwana basi HATAKUWA NA MUDA TENA WA KUANZA KUMUHUKUMU AU KUMSIMANGA..i..limetokea la kutokea no way out ..na ameshajutia kosa basi ni vyema akashauriwa the best way ya kucover situation...

  si km atujui km kakosa ..lahasha kaka twajua sana km kakosa tena kakosa sana..lakin ukipima uzito wa masononeko yaliyoko ndani yake sizan km u ni wakt mwafaka wa kuendelea kumsuta.kumwongezea masononeko...

  afu ujii alikuwa kwenye situation ipi ..kwa upande wa uyo jamaa na yeye pia...kuna wanaume ata ukimwwambia naumwa kichwa anaweza kukujibu kwan KICHWA KINAHUSIKA VIP NA UKU DOWN...

  msimuhukumu.kuwen fair.msaidien 4godsik
   
 19. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Siku nyingine huwa unatoa point wewe!! Huwa unaniboa pale tu unapowalamba miguu mafisadi na kukumbatia magamba. By the way habari za Mwanza? nilijaribu kukuangalia pale PPF - Gold crest hotel sikukuona au ndiyo ulitoroka nilivyokuambia nitakutafuta?
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  nyie madada wa jf mnasema hamtaki nyumba ndogo,
  sasa huyu mwenzenu mnamkubali je, kwenda kulala na mibaba miwili
  kwa siku huku akijua jamaa ana mke,
  haya iwe kalala na mumeo ungemshauri nini.
   
Loading...