Natafuta mchumba nimechoshwa na ubachela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba nimechoshwa na ubachela

Discussion in 'Love Connect' started by SMG, Oct 27, 2011.

 1. S

  SMG Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naomba mnisaidie kwa ushauri ili kufanikisha ndoto yangu.mm nina miaka 25, nina elimu ya chuo kikuu, ninatafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:-
  *awe na umri usiozidi miaka 22
  *awe ni msichana mtanashat, mtii, full of smiles na mwenye mvuto hata kama nikitoka nae bas nijisikie pride,
  *awe white/majiakunde,
  *awe mchamungu,
  *awe na mwili wa wastan na urefu wa wastan,
  *awe na elimu isiyopungua form 4,
  *awe tayar kuish sehemu yeyote Tanzania. Naamin kupitia jf nitapata ushaur wa kunifaa na ikiwezekana mchumba na mke mtarajiwa kabisa.Hivyo naomba ushirikiano wenu.
  Ndugu zangu naomba tuwasiliane kupitia.
  0757481196,
  ANDREW ANELSE
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Dogo mambo ya umri na hako ka_elimu ka chuo kikuu hakana maana yoyote kwenye ulimwengu wa mapenzi wa sasa,...wewe pambana ukamate mihela kila kitu kitaenda kwenye mstari.....pole kwa usumbufu
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ur bank statement plz!!!!!!!!!!
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  we mchaga eeeh!
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mtafutie mtaani kwenu! huku jf utawakuta warembo wengi sana lakini karibu wote watataka wakutawale je, upo tayari?
   
 6. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  kila la heri
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  unaogopa nini kutaja jina lako la kweli? Feis Buku anataka statement za bank. (ANDREW A. SENGE)
  Kuandika Senge haimaanishi kuwa wewe ni M..NGE
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Mchumba mwema hapatikani kwenye keyboard.
   
Loading...