<ooo> MMU: Kundi la Waliovunjika Mioyo Au Washauri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

<ooo> MMU: Kundi la Waliovunjika Mioyo Au Washauri?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Obuntu, Oct 27, 2011.

 1. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Takribani miaka mitatu sasa nimekuwa msomaji mzuri sana wa hili jukwaa (MMU) na baada ya kupitia "threads" takribani 500 nimeona kuna kitu kimoja kinachofanana sana katika hizi "threads"... Nyingi ni za "Ulalamishi/Ushauri wa mahusiahano"!

  Ningependa kufahamu,

  Je, Inawezekana wachangiaji wengi au wapenzi wengi wa MMU ni wale waliokwisha kutendwa (broken-hearted) Au wengi wako katika safari ya ku-recover kutoka katika kutendwa Au wengine bado wapo katika kutendwa???

  Nawakilisha:
   
 2. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
 3. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  one thing you should know, mahusiano au mapenzi ndiyo husababisha kuwepo amani au machafuko kati ya watu, familia na hata taifa. imagine wewe umfumanie rafiki yako na mpenzi/wako wako, patakalika. hivyo usishangae kuona watu wengi humo wakilalama au kuvunjika mioyo.
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mmu kama vilivyo vyombo vya habari inaburudisha,kufahamisha na kuelemisha.
  Humu mmu unaweza kuingia na simanzi ukapata faraja,lakini pia unaweza kuingia kwa raha zako ukaishia kuwa 'rattled'.
  suffice to say mmu imewasaidia watu wengi kuwapa mwongozo katika maisha yao binafsi baada ya kuyamwaga jamvini.More importantly kuna ambao wamepata marafiki na hata wachumba humu ndani.
  Mwenzetu vipi kupitia mmu hujafahamiana physically na memba yeyote? Mi tayari nafahamiana na Husninyo(mtoto mzuri ni hatari) na Aspirin(ana sura mbaya utadhani kagongwa na treni) na TF (kumbe ni kibabu).
   
 5. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Memba Wa MMU wao ni madaktari wa MMU hivyo wanajua mengi yenye mashiko yanayohusiana Mahusiano, Maisha na Urafiki.
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  lol...:lol: ngoja wakusikie, wapo mbioni wanakuja!
   
 7. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  sema pole pole bana!
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kumbe na wewe bishanga ni mzee wa kuchakachua sredi? Nakuongeza kwenye ile list yangu ya Asprin na Klorokwini!
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Huyo Husninyo nammezea mate we sana,ila anaonekana mjanja mjanja
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
   
 11. bulldoza

  bulldoza Senior Member

  #11
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  How many people want to go back in time to change some mistake in the past? Many more than those who are willing to do the hard work that it takes to improve the future..
   
 12. s

  shalis JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmu ni zig zag .com mambo yote yanawekwa wazi kama mtu unashaka na jambo unajimuvuvisha basi bila hiyana
  watoto wa kike na kiume wanajimwaya na kutoa maushauri basi raha tu
  wanaopata ahueni ya mambo zao haya.....
  waliovunjika moiyo tupo na tuwasonga mbele
  (tunapunguza mawazo yetu) , walio kwenye mahusiano wao ndo shangwe zinazidi

  basi mshike mkono umpendaye ... njoo kati ucheze nae eeh ... ndo mpango mzima
   
 13. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  thethethet!! zigzag.com!!!
   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280

  Sina hakika kama wamepitia huu uzi na wakaona hii kitu
  Ila sijamwambia TF maana niko nae hapa
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Me love this......lol.... Big up B'...
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  MMU ni watu walotoka katika jamii hio hio ambayo unaishi... Jamii ambayo no matter wee ni nani na una umri gani mradi ushafika umri wa kua na mahusiano basi wee ni mhanga wa all its related aspects.... Kufurahia mapenzi, machungu, kuvunjika, kutendwa, kutongoza, kufumania... na mambo kibao yahusuyo MAPENZI.... Haya ni mambo yanafanyika kila dakika. Na sababu hili ndo jukwa husika la kujimwaya na mambo hayo basi daima miaka nenda rudi hizi topics haziwezi badilika sababu leo huyu, kesho yule mradi siku zinaenda.....
   
 18. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Nimegundua kitu kimoja mtoa maada ni mwoga wa kuwaamini watu; na maadam nishakutana na watu kama wewe in real life naomba nikuambie kwa upendo hapa ni mahala maridhawa; hata kupingana na wakati mwingine kushambuliana kwetu hapa ni kwa nia moja ya kuujenga udugu uimara..........usiogope karibu na kama ulivyosema umekuwa uki"fuatilia" naamini ushaona ninani anakuafaa japo hata kukusikiliza.........
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,762
  Trophy Points: 280
  Kwa heshima ya Obuntu ambaye sredi zake huwa ni marufuku kuchakachuliwa, kuna mtu anaweza akaniambia leo ni Jumangapi na sheria za JF zinasemaje kwa watu wanaochakachua sredi siku ambayo si Ijumaa?

  Pokeeni salamu toka kwa Jamhuri Kiwelu ambaye nimetoka kumuuzia zile raba mtoni nilizowaambieni zimenibana.

  Baada ya kusema hayo, naomba mumwambie Obuntu kuwa ametuzalilisha sana wanachama hai na wa kudumu wa MMU.
  Tumesubutu
  Tumefanya
  Tumeweza
  Na tunaendelea na kuendelea kusubutu na kufanya.

  Wote semeni AMINA.
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hivi AMINA yule mhudumu wa pale Migombani Bar
   
Loading...