Natafuta rafiki wa kike awe wangu mpaka ndoa.

chriss brown

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
292
63
Habari zenu jf!mimi ni kijana wa miaka 29.natafuta rafiki wa kike wa kuwa karibu na mimi,mpaka 2funge ndoa.nafanya kazi..Mwenye sifa zifuatazo tuwasiliane kupitia jonathan@gmail.com


1.Mzuri.
2.Tabia nzuri,staki mkorofi.
3.Figure namba nane,naturally,staki ya mchina.ukija naya mchina ntakugudua.
4.Elimu at least diploma or degree,awe mfanyakazi,au awe na miradi.
5.Anipende
6.Awe na rangi ya kuvutia.
7.Awe tayari kupima H.I.V.
8.Awe tayari kuolewa,staki anaesitasita.
8.Awe na macho mazuri,hapa namaanisha"macho ya kurembua"Staki mwenye macho makavu.
9.Awe na uso mzuri,wakitoto,nikimaanisha -*babyface*..Staki mkomavu.
10.Awe tayari kunizalia mtoto kabla ya ndoa,namaanisha,kabla ya ndoa au atakuwa na mzigo tayari kwa tumbo kabla ya ndoa.
11.Awe tayari kwenda kutembelea mbuga za wanyama kila wikiendi.
12.Asiwe mpenda ATM,Vocha etc,Ntakupa nikiamua.Ukiniomba nakuacha.
13.Umri kuanzia miaka 22-28.


KARIBUNI SANA WAREMBO,NAPENDA WAZURI ZAIDI,WENYE MVUTO NA TABIA NZURI.
 
nimekukubali we kichwa! kila la heri bob.na umuombe Mungu kwelikweli coz wenye hayo uyatakayo wapendwa na wengi. so, ukimpata jitahidi kumpa anayotaka kwa uwezo wako lasivyo utaachwa kweupeee!! jua lawaka!! hadi vocha usiombwe we kabila gani? au unataka amwombe nani?
 
Dah,haya bwana!
Ila hayo masharti mkuu,
Sina uhakika km kuna binadamu aliyekamilika kihivyo!!
Ungeweka nawe sifa zako pia ww una umbo lipi,ubaby face wako,tabia yako,macho yako,rangi yako na elimu yako, km unavyotaka kwa wenzio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom