Nikwanini mapenzi tu?

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,969
1,391
Kwanini watu walilia mapenzi?wengine wanajikill kwa ajili ya mapenzi?wanaacha kazi kwa ajili ya mapenzi?wanaonga kila kitu walichonacho kwa ajili ya mapenzi?wanacha family zao wanaenda kuishi na wapenzi wao?wanagombana kwa ajili ya mapenzi?mtu anaafiri mbali kwa ajili ya mapenzi?analala anaweweseka kwa ajili ya mapenzi?anakiri mwenyewe hana bahati kwa sababu hana mpenzi?unaweza kumnyima kila kitu lakini usimnyime mapenzi?na mengine mengineyo kibao unayoyajua wewe lakini ni kwanini mapenzi?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom