wana JF Tanga nipokeeni

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,772
4,641
habari za jioni wana jf,poleni na mishughuliko na pilika pilika za hapa na pale za kutaka kujikwamua kiuchumi huku wakubwa wakiwa bado wamekaba hadi penalty.Kwa wana jf waliopo tanga wote naomba mnipokeeni na kunionesha maeneo jiji hili mana serikali imeamua nije niwahudumie watanzania waishio jiji hili.
Ahsanteni.
MIKATABAFEKI.
 
Pamoja na kuwa kwa sasa niko nje ya Tanga, lkn karibu sana mkuu.. Tatizo ni hiyo mikataba yako lol.
Ukiizoea tanga iko poa tu japo mzunguko wa hela ni mgumu kidogo! Kama ni mara ya kwanza kweli tanga tegemea kupata mambo mengi kinyume kabisa na inavyosimuliwa...!!
 
mkuu tembea na condom mfukoni kama ngao ya maisha yako. karibu lakini ukimwi upo. mia
 
Pamoja na kuwa kwa sasa niko nje ya Tanga, lkn karibu sana mkuu.. Tatizo ni hiyo mikataba yako lol.
Ukiizoea tanga iko poa tu japo mzunguko wa hela ni mgumu kidogo! Kama ni mara ya kwanza kweli tanga tegemea kupata mambo mengi kinyume kabisa na inavyosimuliwa...!!
ni kweli mkuu mana mesimuliwa mengi hebu nkajionee mwenyewe
 
kwahiyo wewe ni mwenyeji huko au? Mbona unatuchanganya. Lol
bibie memaanisha next time ukiwa unatoka mpwapwa kuja Tanga utakuta tayari mambo yapo sawa haya faaasta unapendelea nini CONFY,DODOMA OR VITA RAHA???????????
 
Back
Top Bottom