Mdhungu anajuuuta kumfahamu dada wa Kiganda baada ya kupigwa limbwata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdhungu anajuuuta kumfahamu dada wa Kiganda baada ya kupigwa limbwata

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nyumba kubwa, Nov 28, 2011.

 1. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  [h=3]Nimesoma hii habari toka wanawakenisisi blog nikaona si mbaya na nyie mkacheka kidogo.

  Limbwata....[/h]


  [​IMG]

  Huyu ndo Shanita mwenyewe akiwa na moja kati ya magari yake ya kifahari..

  Hi,
  Katika gazeti la leo la Uhuru ukurusa wa 2 kuna habari kuhusu msichana wa miaka 25 Shanita Nalukenge (Mganda) na a married businessman David Greenhalgh (England) ambapo inasemekana kuwa David amemfikisha Shanita mahakamani after Shanita kumtapeli David 7.8 Billion Tsh. Na wanasema jamaa alipewa limbwata na the lady ndo maana akawa hafurukuti na kummwagia Shanita mihela kisawasawa zikiwemo Pound 400,000 aliyompa siku ya birthday yake! David kamind sanaaaaa ila anasema hamind kuwa Shanita aliiba hela yake na kuitumia vibaya bali kuwa she was spending his money na vijana wadogo ambayo walikua wanamtukana! Mbona kama jamaaa ana wivu tuu.. Hehehhehe! Anyway for more of that story cheki humu
  http://allafrica.com/stories/201111090765.html

  [​IMG]
  David huyu hapa...
   
 2. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Kumbe libwata inafanya kazi nilijua ni story tu za hapa kijijini kwetu............
   
 3. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Kama mpaka wadhungu wameshalitambua; tutaona research zinamiminika kuja kuthibitisha ni jinsi gani inafanya kazi.
  Lol.
   
 4. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Niliona documentary moja ilikuwa inaongelea black magic ni hatari kweli kweli..............
   
 5. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Nasikia kuna University moja (jina kapuni) huko Netherlands wanafanya research za uchawi in Africa specifically West Africa; Inatisha.
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Huyo bwana ana sura kaa DUBU
   
 7. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Yaani katika uchawi wote uliopo duniani waafrika tukachukua black magic ni mbaya kwelikweli......... sasa huu white magic hata hauwasumbui wao ndo maana wao rahisi kukiri ni wachawi na wanakuonyesha kabisa.na vitabu vipo.
   
 8. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Watu wameangalia mfuko.....
   
 9. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hamna kesi hapo kwani alilazimishwa??si aliona sifa kummwagia mahela,kutumia ilibaki kuwa sio juu yake baada ya kuigawa LOL
   
 10. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Sidhani kama alifanyiwa dawa, na izo ni imani potofu, uyu dada aweza kuwa mtaalam sana wa mavituz, pia ndugu zingatia kule chini ni patamu ati, ebu kumbuka wkt wa ogasm, bwana waweza ata kuonga malaki, kwani pasingekuwa patamu kusingekuwa na mapenzi, naamini ivyo
   
 11. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Jamani kwanini watanzania wengi likija suala la uchawi usema imani potofu wakati viongozi wetu wengi wanakuja huku kijijini kusaidiwa na wazee pamoja na elimu walizonazo?​
   
 12. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Uchawi ndugu yangu upo; ila huwezi kuwa na evidence kama umetumika au la. Nilikuwa naongea na kijana mmoja wa Ghana nikachomekea kuwa Nigeria wanaamini sana juju. Akanambia si Nigeria tu hata sisi Ghana juju tunaiogopa sana ipo sana tu. Akaendelea kunambia kuwa hata ukiwa na maendeleo watu wanakuroga. Sikutaka kumuuliza zaidi kwamba yeye mbona bado yuko hai na ni successful, nikaamua ku conclude kuwa na huyu nae keshazindikwa.

   
 13. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Ndio nashangaa. Uchawi upo. Ni sisi tulozaliwa mjini ndio tuko safe, na hatujawa exposed na hayo mambo ya uchawi. Mimi sijawahi ku experience mambo ya kurogwa maishani kwangu kwa kuwa nimezaliwa mjini; lakini najua uchawi upoooo.

   
 14. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Huyo Mghana amenisthua sana amenambia usione watu wanaume wanavaa mapete makubwa vidoleni ni mambo ya kichawi hayo ya kuvuta bahati sijuhi kujilinda n.k. Nikakumbua wanasiasa wetu na mapete. Nikachomekea kuwa nasikia wanasiasa toka nchini kwetu wanazifuata hizo pete Nigeria; akasema zile pete si za bure zina majini. lol.
   
 15. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Hawa jamaa wameweka sheria kabisa ya uchawi..

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Nimeshindwa kuangalia hizi video, ziko restricted huku nilipo (ndo message nilopata)

  Ila siyo siri nawaogopa sana west africans. Kuna mdada niliwahi pewa story alipata mchumba toka Naigeria mkaka alikuwa anafanya kazi Tz. Akamchukua kumpeleka kwao wakafunge ndoa. Kumbe yule kaka alikuwa amezaa na binti mmoja huko Naigeria. Dada yetu wa kibongo asipigwe juju. Alianza kichwa kinauma; kichwa kikawa kichwa mpaka kafa.

  Ni mbaya kutumia stereotype ku judge watu; but kwa kweli sishauri mtu ajichanganye na awa watu; wanakudedisha kabisa ukiingilia mapenzi yao. Wanawezana wao wenyewe.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ndo akome kudanganyika.
   
 19. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #19
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Inasikitisha sana na huku Tz ndio hali inazidi kuwa mbaya yaani mtu anaenda kwa babu kisa boyfriend......jaribu kusearch youtube unreported world nigeria
   
 20. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Kuna binti mmoja wakati niko O'level aliachwa na boyfriend wake. Mashoga zake wakampeleka sijuhi buguruni kwa mganga. Siri ikaja fichuka mpaka mama yake alikuja shule kumwadhibu. Tena binti mwenyewe kwao masaki wala si uswahilini and ilikuwa miaka ya 90s. Nasikia these days wadada kwa sangoma ndo usiseme. Hawa hawa watoto wadogo wa o'level' A'level.

  Afu binti mwenyewe alikuja kuwa miss Tz baadae. Lol. sijuhi napo aliroga. Ila ni mzuri sana.

   
Loading...