Ninaomba uzoefu kwa hili!

Babygood

Member
Jan 24, 2011
11
3
Mimi ni binti wa miaka 27, sijawahi kutembea na mwanaume, i have now got a man, ambaye naona we can make a family na tunategemea kufunga harusi mwakani, ila nimegundua kwamba hata huyu mwanaume hana uzoefu na inaezekana ajatembea na mwanamke bado! lakini wote tunasubiri mpaka tufunge ndoa.. Will it be simple if wote mkiwa hamna uzoefu kabisa?
 
Mimi ni binti wa miaka 27, sijawahi kutembea na mwanaume, i have now got a man, ambaye naona we can make a family na tunategemea kufunga harusi mwakani, ila nimegundua kwamba hata huyu mwanaume hana uzoefu na inaezekana ajatembea na mwanamke bado! lakini wote tunasubiri mpaka tufunge ndoa.. Will it be simple if wote mkiwa hamna uzoefu kabisa?

Una maanisha nini hapo....
 
Kwani hamjui nini kinaenda wapi?
Kuna watu wana experience za miaka na hilo swala ila bado hawawezi kitu. Hiyo ishu ni sanaa na utundu zaidi ya kitu kingine chochote kile. . . kwahiyo unachoweza ni labda usome some kidogo ili uwe na idea ya nini chakufanya huku ukimsubiria mwenzako mtengeneze uzoefu wenu wenyewe.
 
mbona inawezekana kabisa tena hiyo ndo tamu. big G mnaifungua wenyewe imagine utamu wake wa mwanzo, hakuna kutema hapo.
 
Hapo ndo patamu zaidi, mtajulia huko huko, wewe kabila lako hamna mila za kufundwa?
 
Mimi ni binti wa miaka 27, sijawahi kutembea na mwanaume, i have now got a man, ambaye naona we can make a family na tunategemea kufunga harusi mwakani, ila nimegundua kwamba hata huyu mwanaume hana uzoefu na inaezekana ajatembea na mwanamke bado! lakini wote tunasubiri mpaka tufunge ndoa.. Will it be simple if wote mkiwa hamna uzoefu kabisa?
1. Umegunduaje kwamba hana uzoefu?
2. Kwenye ndoa hakuna kitu kinachoitwa "Simple" always expect positive and negative...so get ready kupanda na kushuka milima
 
kwani kuna ugumu gani ? hicho kitu ni simple zaidi ya kunywa maji mbona?
 
Kwanza nikupe Hongera kwa kufikisha umri huo bila kuchakachuliwa. Nikwambie tu kwamba hakuna aliyezaliwa anafahamu, kila mmoja alianzia zero, halafu akaendelea na kupata uzoefu. Ni vizuri kwamba nyie wote ni mbu mbu kwenye hiyo fani kwa hiyo mtaanza wote kujifunza, na mtakuwa na experience moja hakuna mtu wa kumzidi mwenzake.
 
Hilo usihofu kwani mtoto hafundishwi kulia,Adamu na Eva walianza vipi? hata hivyo ni vizuri kusoma vitabu mbalimbali vinavyohusiana na maandalizi kabla ya ndoa vyingi vimeeleza hasa maandalizi anayotakiwa mmeo akufanyie kabla ya kumega mkate ili uweze kufika kileleni,pia na wajibu wako unaotakiwa kufanya kwa mmeo.Ila maumivu mara ya kwanza hayaepukiki lakini maumivu kitu gani kwa mama anayejifungua, mtoto akisha toka hakumbuki kabisa zaidi ya kufurahia mtoto aliyempata. hata hivyo mambo mengi mtayafahamu kadri mnapoendelea n amaisha yenu ya ndoa.Ni heri kwenu mnaoingia kwenye ndoa mkiwa hamjagusa kitu hii,wengi wanatamani wasiweze.
 
ulipimaje kuwa hana uzoefu?

hakuna anayefundishwa mapenzi ndg, wala hakuna anayefundishwa tendo, ni utundu wenu na ubunifu.
 
Utajifunza huko huko na kupata experience zaidi.
Hamna geni lolote kwenu zaidi ya kuongeza ufundi na manjonjo.
Siku hizi hata watoto wadogo wanafahamu baba na mama wanafanya nn ili mtoto apatikane, sembuse nyie!!!!!.
 
ukishaolewa ile siku ya kwanza, baada ya harusi na mc kusema, "ndg wageni waarikwa sasa maharusi wetu wanatupungia mkono wakiondoka kwenda KUPUMZIKA....!!!" basi ujue hapo ndo shughuli inakwenda kuanza rasmi, mkishafika katika chuimba mlichopangiwa hapo hotelini, anza kumvua koti bwana harusi kisha mkalishe kitandani umvue viatu, baadaye na yeye atakuvua shela na viatu, kisha umshike mkono wake umpeleke bafuni mkaoge, baada ya kutoka bafuni kuoga umshike pale kwenye nannhiliii yake na yeye atakushika kwenye nanhiliii yako kisha wote mtaanza kujisikia kama vle mmnapaa angani kwa pamoja, na hapo utajikuta unafumba macho yako na kuanza kuhema na kupumua kwa nguvu na uatjikuta unaanza kunena kwa lugha usiyoifahamu hapo ujue sasa kuwa ndo mwanzo wa hayo mambo na kutokea hapo utakuwa umepata hiyo experience kwa maisha yako yote ya baadaye, unaona veri simpo
 
Kwani lazima kufanya mpendwa? Mwaego endeleeni hivyo hivyo tu hata baada ya kuoana, mmekaa miaka 27 hamjapata madhara yoyote kwanini mnataka kuacha hiyo hali?

Wala sio chakula kusema msipokula mtakufa, kaeni nyumba moja, ongeeni, tanianeni, chekeni, fanyeni kazi kwa bidii mtafurahia maisha tu, hiyo kitu itawaletea shida tu mta anza kuoneana mawivu mara sijui cheating mara sijui nini
 
Wala usiwe na hofu,Najua kwa dini zote mnapokaribia ndoa kuna mafundisho,So utaambiwa yale mambo muhimu yote na hasa km ukiwa muwazi kuwa hamjui kitu,Mtelezwa basic mengine huwa yanakuja automatikale huko kwa kitanda.
 
kaangalie picha za X lakini siyo zile za ma black American zipo zinazofundisha jinsi ya ku duuu.
 
duuh,angalia asije weka uwani ukajua ndio sehemu sahihi!hiyo kitu iko automatic,mtajua tu mkianza
 
Back
Top Bottom