I dont believe uhaminifu katika mapenzi 100%

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,941
2,251
hivi kweli kuna mahusiano ambayo yana uaminifu 100% jamani? namaanisha watu wanaanza mahusiano, wanaoana na kufa bila kusalitiana?

kama yapo ni kwa asilimia ngapi? na tafadhari hebu nipeni siri ya mafanikio?


je unapaswa kumwamini partner wako kwa asilimia ngapi?


maana sasa nimepoteza uaminifu kabisa sasaaa
 
Pole sana..........

Huo uaminifu umeupotezea wapi?

Kuna binti mmoja nimesikia akisema ameuokota.
 
Lazima uanze kujiamini wewe ndipo utaweza mwamini mwenzio (i mean kuwa mwaminifu kwanza )
 
Pole sana..........

Huo uaminifu umeupotezea wapi?

Kuna binti mmoja nimesikia akisema ameuokota.

mmmh kaka kwakweli nimejiuliza hili swali mpaka nimechoka.....!

my friend nahisi kachakachuliwa ....yet
 
kukiwa na uaminifu 100% then huo utakuwa sio ubinadamu...huo ni umalaika ndo mana binadamu tumeumbwa kusahau, kusamehe na kuendelea na maisha.
 
hivi kweli kuna mahusiano ambayo yana uaminifu 100% jamani? namaanisha watu wanaanza mahusiano, wanaoana na kufa bila kusalitiana?

kama yapo ni kwa asilimia ngapi? na tafadhari hebu nipeni siri ya mafanikio?


je unapaswa kumwamini partner wako kwa asilimia ngapi?


maana sasa nimepoteza uaminifu kabisa sasaaa
Uaminifu kwenye ndoa upo 'Kiimani zaidi' ...ugumu ni kutojua aliwazalo mwenzio...
Kiufupi usiusemee moyo wa mwenziwako..kama wewe unampenda kwa asilimia 70%.. amini pia na yeye anakupenda kwa 70%..
 
U are looking for neddle in hay-stack, 100% faithfulness is something nearly impossible, watu wako na mafikra na mitazamo tofauti. . . .its all in our heads, kuwaza, kufikiri na kuona...we meet different people, with different characteristics. . . ., uaminifu 90% yawezekana...the remaining 10% goes to flirtation, bluffing and admiration.
 
so does it mean kuchakachuliwa au kuchakachua nje ya ndoa ni normal ....na si dhambi
 
Haupimwi kwa asilimia.

mimi sijamlenga mmoja katika mahusiano, i mean je nawewe unaweza ishi katika mahusiano bila kumsaliti mwenzio...kwa kiwango gani kama ningepima kwa asilimia?
 
mahusiano yoyote yanahusisha wanadamu na hapo ndipo tatizo lilipokuwepo....sisi sio wakailifu hivyo basi uainifu kwa mwanza ni muhimu sana na pia ni busara kujua kuwa huyu mwanzako ni binadamu na uwezekano wakuteleza upo. 90% naona inatosha.

pia tukumbeke kuwa kusalitiwa kwingi kunatokana na kwamba mwenza kumjengea mazingira ya kusalitia na ampendaye.....kwa mfano kukaa mikoa tofauti, kunyima unyumba nk...so chunga mzigo wako.
 
Uaminifu kwa mtu wa nyama kama ww ni uongo watu tunadanganyana tukamilishe mahitaji ya kimwili tu.uaminifu bongo.
 
so does it mean kuchakachuliwa au kuchakachua nje ya ndoa ni normal ....na si dhambi

Kwa mujibu wa kitabu kitakatifu cha wakristo ukimwangalia mtu wa jinsia tofauti kwa kumtamani tayari umeshachakachua na ni dhambi. Sasa wewe tueleze unatumia muktadha gani kusema kuwa kuchakachua siyo dhambi.
 
Back
Top Bottom