kijukuu kindo
Member
- Sep 19, 2010
- 86
- 12
Wana jf, naomba mnipe ushauri. Mimi kijana wa kama 35 yrs nina mke na 2kids. Imetokea kuna dada 1 ana umri wa kama 30yrs, amefiwa na mume kw ajali ya gari kama miezi 4 imepita, na walikua namtoto mmoja. Kwa bahati nzuri au mbaya huyu dada tunafanyakazi ofcsi moja na pia tunaishi mtaa mmoja. Ukweli ni kuwa hatukuwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi kabla lkn baada ya kumpoteza mumewe amekua mpweke sana anawasiliana nami mara kw mara, ht nisipokua ofcn anajitahdi sana kupiga simu. Sasa anaomba niwe naye karibu kumsaidia ktk kubalance nature, nami nikimchek kweli najawa na huruma na natamani nimkubalie kwani ndo hvyo hana mtu tena. Ila ndo hvyo mie nina mke wangu tunapendana sn. Kwa kuwa nafanya nae ofc moja wanafahamiana pia na wife. Je! Nimkubalie huyu dada kumtimizia mahtaji kwa kumbanjua ama vp? Ni mtihani kwangu kwa vle dem ni mdogodogo flani halafu ni mzuri pia.