Anatafuta rafiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anatafuta rafiki

Discussion in 'Love Connect' started by CHARLES F.MARWA, Dec 6, 2011.

 1. C

  CHARLES F.MARWA Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Am looking for friends,nasoma kidato cha tano hapa mwanza....napenda amani. 0752 202052 AU 0715 206048
   
 2. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Soma kwanza!! marafiki hata huko shule ni wengi, wengine utawapata discussion na huko unakokaa.
  sisemi wa huku JF hawafai!! la!! ila naona huo muda na internet ungeitumia ku google materials ya shule na kukomaa na kusoma.
   
 3. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  we mtoto sijui unasoma shule gani na combination gani!!!navyoijua Mwanza bado una tope jing sana usoni!!soma mdogo wangu!!maisha yapo!!achana sana na mambo ya mtandao,yatakupotezea muda!!!!!ajali ushauri huu kama zimo!!ukishindwa shauri yako!!!!!
   
 4. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mwacheni!!!
   
 5. Wang'wise

  Wang'wise JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Call Facebook.com or marafiki.com or hi5.com.
   
 6. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tumwache afanyaje? inatakiwa tumpe ushauri mdogo wetu na sio tumwachie apotee maana huu sio wakati stahiki wa yeeye kuwa na rafiki
   
 7. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Rafiki yako wakweli nikitabu kwa sasa wengine wote watakuzingua...
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  msimfatilie nimesema mwacheniiii!!!!
   
Loading...