Lost love

This is how naweza define love.

nikiwa kidato cha pili
nilikosa ada ya shule ikabidi nipumzike nyumbani kwa miezi miwili
nikiwa home akaja mshefa mmoja toka mjini
akapropose kwa wazazi wangu anisomeshe na kusaidia familia
kwa malipo ya yeye kunioa
wazazi wakakubali

nilipiga yowe ya kupinga
sikutaka komitment ya utotoni
i was only 16, he was 38
hakuna aliyenielewa
alinisomesha na kumaliza
baada ya f4 akaanza kujilipa kidogokidogo
nikaenda high skul almost already married
baada ya hapo tukaanza ishi wote
muda wote huo sikuwa namfurahia
niliona kama naishi kwa ajili ya wazazi wangu

baada ya kuishi kwa miaka miwili
nikaanza hisi kweli ananipenda
nami nikaanza mpenda
sasa hivi am happily his

It wasnt love at first sight
it was love at a millionth sight
and it worked

Bishanga thats my contribution to malavidavi.
kongosho bana,hebu dadavua mambo ya malavidavi!
 
Back
Top Bottom