nmepita 2 hku leo ila naomba ushauri kwa wana Jf. Kuna msichna nlitokea kumpenda toka mara ya kwanza kupata kukutana nae {2005}, ila 2kaja kupotezana nae had nmekuja kuonana nae tena hivi karbuni {2009}, 2kaanza mahusiano nae na katka mazungumzo ye2 ya mwanzo akaomba nisije kumuumiza kwan alishaumizwa sana awali nami ckuwa na hiyana na hlo. Chakushangaza ss n kwamba 2kiendlea na mahusiano kuna vtabia ckuwa napendezwa navyo na nlikua nkmwambia lakn naona bado haelewi mwsho wa cku nkampga stop kwa mda kuja kwangu 7bu ya hvyo vitabia na nkamwambia cwez kuoa mtu wa tabia ile, akanijibu kwmb hta yeye hajafkiria kuolewa na mm kwa ss lakn baada ya mda kdogo kupita akaanza kuomba msamaha eti turudiane nae na ananipenda sana na ameshakuja kwangu mara kadhaa akitaka nim-doo ila nkamkatalia lakn bdo simu na meseji haziachi kumiminika kunitaka tena. Nisaidieni nfanyeje au niamuaje mie kuhusu huyu mtu.