Uhusiano kati ya ubikira na kuendesha gari- saudi arabia

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
wANA MMU, Saudi Arabia law makers wanasema hawawezi kuruhusu wanawake kuendesha magari sababu wakiruhusiwa wataharibu bikira. jamani hivi kuna uhusiano gani kati ya kuendesha na preservation ya bikira kwa wasichana.
 
Sidhani kama kuna uhusiano, ila Waarabu wana mila zao na imani zao ambazo kwa kiasi fulani, wanawake wamebanwa mno na wanaume, I mean kuna mfumo dume kwa mtazamo wa kitanzania. Ni ngumu kulizungumzia hili, maana culture zetu sisi, imani na mtazamo wetu juu ya mahusiano ni tofauti na wenzetu Waarabu.
Na log off
 
wANA MMU, Saudi Arabia law makers wanasema hawawezi kuruhusu wanawake kuendesha magari sababu wakiruhusiwa wataharibu bikira. jamani hivi kuna uhusiano gani kati ya kuendesha na preservation ya bikira kwa wasichana.

usishangae, huo ndio mchanganyiko wa dini na siasa
 
Dunia bado inakua wajemeni. mbona yako mengi sana kule kama ukiyaleta hapa bongo basi kina mama nkya watapata taabu sana kuyaongelea. Kwa mwarabu mambo mengi yanaenda na dini pia ndo maana ni ngumu sana kuyasemea hayo mambo maana ni kama utakuwa unamkufuru mnyaaaaaaaaaaaz mungu
 
Hawa jamaa hawaogopi vidamu damu vya binadamu eeeeh? Wanachotaka ni mwanamke ambaye hajaguswa na mwanaume, kuingiliwa na chochote kwenye nyeti yake au anayetoa vidamu? Nimekodoa lakini sioni uhusiano!
 
Mwenye kuprove bikra ya mtu,ni mwenye mpenz wa aina hiyo tu,mtasema mara baiskel imetoa,mara gari,mpaka mtasema wakikaa sana itatoka.kama ipo ipo,kama mchina mchina tu.wasisingizie magari.
 
inaweza ikawa kweli,kuna dada mmoja kanigonga kwa nyuma leo asubuhi kwenye taa za mianzini alivyokuwa anatetemeka nilimwonea huruma na kama angekuwa na bikra angeiacha palepale.
bahati nzuri gari yangu ina tairi mlango wa nyuma kwa hiyo haijaumia.
 
inaweza ikawa kweli,kuna dada mmoja kanigonga kwa nyuma leo asubuhi kwenye taa za mianzini alivyokuwa anatetemeka nilimwonea huruma na kama angekuwa na bikra angeiacha palepale.
bahati nzuri gari yangu ina tairi mlango wa nyuma kwa hiyo haijaumia.

hahahaha ... mi siku zote kama shori anaendesha gari huwa na mpisha atangulie ... hawakawii kukanyaga mafuta akidhani ni break
 
Kwani ukimuoa hana bikira ndo utamrudisha kwao?? Lakini labda mambo yao arabuni wao wanaogopa vidamu vya pale mbele visimwagike ata kwa bahati mbaya, lakini wataalam kwa kujilipua, si ata leo washia kibao wamemwagwa damu uko irak tena kt msikitini
 
Nadhani kwa waharabu mwanamke ku drive has nothing to do na bikra; kwani wanakataza wanawake wote regardless ya age including walio kwenye ndoa; sasa na hao waloolewa bado wana bikra.

Sijajua bado their reasoning; labda hawataki wanawake watembee peke yao bila uangalizi; si unajua tena mwenye gari unaweza kumkamatia mbali.:juggle:
 
Afu cha kushangaza ni kuwa wanaume wengi sana wanapenda wake zao wa drive; huo mtazamo wa kuwazuia driving ni wa extremist wachache ila ndo hivo ni wababe kama watalibani. Nilikuwa naangalia aljazeera siku moja wanaume wanaojiwa wanasema hiyo sheria inaongeza ugumu wa maisha kwani inabidi waajiri madereva kupeleka watoto wao shule wakati wake zao wangeweza fanya hiyo kazi. Na wanasema they also spend a lot kwenye taxi, wakati wake zao wangeweza kujiendesha.:A S 465:
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom