huyu kijana nimfanyeje

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
ni juzi hata mwezi haujaisha nakutana tena na mdogo wangu/rafiki yangu ambae wakati nipo A level yeye alikua Olevel,,,yupo chuo kikuu fulani na amekosa acomodation...anatafuta chumba mtaani!!

nikaona nyumba yangu ina ukubwa wa kutosha na chumba cha ziada na kwa vile bado familia nikaona nimpe kijana chumba kimoja japo kw amuda usiojulikana..................

kijana akahamia!

Nilimpa condition za kuheshimu nyumba na mambo mengine kama hayo....

huwa sishindi nyumbani..kijana amegeuza nyumba kama ndio ameoa!!

ni kushinda ndani..sitting room kucheza vidali-po vyao..hadi uhuru wangu umepokonywa!!!

mbaya zaidi juzi jumamos saa 9 usiku akaja huyo mwanamke wake anagonga mlango....nikanyamaza..uisngizi ukanipitia...nikauliza kesho yake kwa hasira kwa nini vile...kijana anadai binti alikorofishana na mama yake akaamua aje!!

niambieni cha kumfanya huyu kijana...achilia mbali misosi na madrnks ambayo hayachukui raundi....

sitaki nionekane namuonea...
 
Kijana alikosa accommodation ukampa malazi
Binti amekosana na mamake amekosa accommodation huna budi kumpa malazi
 
Mwambie accomodation umempa yeye na sio yeye na mwanamke wake.Na kwanzia leo hana ruhusa ya kuleta mtu nyumbani kwako bila kukutaarifu na kupata ruhusa yako full stop.Akishindwana na masharti akatafute kwake.
 
Mwambie accomodation umempa yeye na sio yeye na mwanamke wake.Na kwanzia leo hana ruhusa ya kuleta mtu nyumbani kwako bila kukutaarifu na kupata ruhusa yako full stop.Akishindwana na masharti akatafute kwake.

kwakweli amenishangaza sana...maana demu ni full kupika kula na kulala..mbaya zaidi sio labda wanasoma wote chuo..ni hakielimu sjui maana nilijaribu kumhoji naikaambulia pumba tupu!!!...vijana sijui tumekuwaje....mishipa ya adabu na aibu kushney....anyway soon nitafany aMAAMUZI MAGUMU!!
 
Mkuu vumilia tu, kama analeta dame huyo huyo mmoja na habadilishi vumilia tu, kwani wanakuzuia nini mzee? Wewe huwa unaleta shemeji pia hapo?

By the way si kwa muda tu, mwakani mwambie a make sure anapata chumba maana hicho chako kutakuwa na issue utafanyia, ishia hapo hapo.
 
Si umesema huna familia mi naona ni chance nzuri sana ya wewe kumkandamizia demu au mademu kila inapotekea wamekuja wakaribishe vizuri na uwaambie we ndio unamweka kijana mjini..jirushe vya kutosha
 
mimi nilikuwa na mmoja akawa kila siku anakuja usiku sana alafu amelewa chakali.Badae ilibidi achape lapa
 
We mfukuze bana,kama ameshndwa kujiheshmu haina haja ya kumbeba tena,wacha akuone mbaya tu.
 
Hivi hili nalo la kuleta hapa?
Kweli kabisa!!!

Mwambie, ebo! Umempa room ili kumpunguzia gharama na usumbufu apige buku na si vinginevyo.Kesha jua we dhaifu wa moyo ndo maana ana kuenjoy. Watu tulishatimua wa damu sembuse school mate! We vipiiiiii?
 
Kwa taarifa yako huyo demu anjua wewe ni kaka yake, hilo dogo limemndanganya kuwa ni kwa kaka yake, ndiyo maana demu hana mshipa wa aibu, anajaribu kuonesha uchangamfu kwa kaka mtu. Kwa ufupi vijana hawabebeki! Ninamshikaji alimchukua kijana mtaani na kuanza kuishi naye then akampatia kazi ya saluni, kijana akaamua kuibuka na vitu vya saluni vyoote! sasa vijana walio masikini hawajaenda hata shule kweli umasikini utawatoka??
 
Back
Top Bottom