Wanawake, zaidi ya uwajuavyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake, zaidi ya uwajuavyo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Judgement, Dec 15, 2011.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ni mara kadhaa nimekua siteremshi uzi hapa kabla sijafanya mapembuzi yenye uyakinifu wa kina.
  Dhamira yangu hapa ni kuyaweka hadharani yale niliyoyafanyia utafiti kuhusiana na kundi hili la wanawake katika ujumla wao.
  Aidha viumbe hawa ambao ni Mama/Dada/Wake/Bibi/Binti/Shemeji zetu, awali nilikua nikijua tofauti walizonazo na Wanaume ni gender tu!, yaani zile tofauti za kimsingi.
  Lakini siku baada ya siku nikaanza kugundua kumbe wanawake na wanaume wanazo tofauti hata ambazo si za msingi, mathalani hapa chini nitaziainisha tofauti hizo zisizokua za msingi.
  > Nimeshuhudia mara kadhaa mko barabarani ambapo kuna magari yanaongozana, mara unasikia watu wanasema ile gari inaendeshwa na mwanamke gari ambayo iko kwa mbali kiasi cha kutomtambua muendeshaji. Na kweli inapowakaribia unakuta kilichosemwa ni sahihi na hata wewe ambae si dreva unaona kabisa gari hiyo hukua ukiiona inaendeshwa kama zingine.
  > Kuna siku jirani yangu ambae ni dereva muajiriwa gari yake aliipeleka garage kwa service kabla ya safari, garage ambayo palikua na mafundi wanawake wawili, njiani wakati anasafiri tairi ya nyuma 1 ikachomoka alipokua anawapigia simu kule garage kuwalaumu akawa anawambia haya matairi lazima wamefunga mafundi wa kike, kitu kilichobainika baadae ni kweli.
  > Kingine ni mwandiko kutumia kalamu atakapo andika mwanaume na mwanamke utaelewa tu!
  > Cha kushangaza zaidi nimekigundua humu Jf na kule Fcbk kumbe hata katika uandishi wa threads/post zao zilivyo ukiangalia tu ule Mtiririko, Uwasilisho, Uandishi, Maudhui, Lugha waitumiayo lazima utagundua pozi flaniflani za kikekike!.
  Huyo ndiyo mwanamke zaidi ya umjuavyo.
  Naomba kutoa hoja.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Umetendwa nini?
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hilo gari moja lilitoka tairi lilifungwa bolt na wanawake, sawa. Ila kumbuka ma elfu ya magari mengine yamefungwa na wanaume...Soma hapa uone vile wanawake wanasifika kua better drivers than men. http://www.google.co.uk/url?sa=t&rct=j&q=are%20women%20better%20trucks%20operators%20than%20man%3F&source=web&cd=2&ved=0CCcQFjAB&url=http%3A%2F%2Fchicdriver.wordpress.com%2Fcategory%2Fwomen-truck-drivers%2F&ei=nEvqTtuZO4P68QOz8JDoCQ&usg=AFQjCNGK_HRsqnEqCxtFqlcxZ7KUiNPd-Q&sig2=N97M6S5qdCft1ld9ZZRY2QKama umeamua kuwaona wanawake tofauti basi utawaona tu sababu akili yako inachagua information gani itumie, na ushahidi mwengine wote unautupilia mbali.
   
 4. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ndivyo walivyo! Tena na zaidi. Ni fumbo la kufumbua kidogo-kidogo lakini bila kulimaliza
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  wakikuudhi sana oa mwanamme
  ya nini ulete **** wa hiari nyumbani kwako?
   
 6. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kama wanaume wote wangenyang'anywa funguo za gari kuanzia malori makubwa kushuka hadi bajaji na wakakabidhiwa wanawake, ajali zingepungua kwa 90%! Natamani muujiza huo ungetokea. Hii ni kulingana na maoni yangu.
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Umejuaje? Utadhani una asili ya Sumbawanga!
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nimekukubali kwa point hiyo especially due the source attached! Hivi ndivyo inogavyo hoja kwa hoja! Big up! Japokua wale ni wanawake wa kizungu bt wana presentation enough.
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Sure you are true absolutely! Watagonganaje wakati katika gari yenye speed 200 wanatumia speed 50 hawazidi ? Incredible !
   
 10. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #10
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Mwali wangu weeee......., asante kwa hili uziful post!!!
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  David akifanikisha kutuletea ile accord poa tu!
   
 12. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #12
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mnapeana shavu tu! Mnyewe kwa mnyewe! Oooh-maaama! (kwa melodysound ya kisharobaro)
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Kupeana shavu muhimu, hasa pale panapostahili!!
   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kiperemende! Hulali ? Saa7 hii ! Lala ukue !
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Wanawake oyeeeeee!
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Oyeee kwa kutokulala oyeee!
   
 17. sister

  sister JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,029
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  aisee JF najifunza mengi, nimejitoa FB cz watu wanasifiana picha tu yan too. wanawake tuko juu, juuu zaidi
   
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Sister! Katika ulivyovi'advance vya maana ni kusepa fcbk! Kule ni kama "o level" ukaja huku "graduate's holder" upuuzi ama u'layman niliouona kule wanaume hawachangii comments za wanaume wenzao! Afadhali wanawake wa fcbk atlist wako fair hawana sana isolation.
  Then kubali au ukatae 75% fcbk users are adolence aged, huku heshima inapatikana ofcz tangu mi nime'join sijawahi ona picha image za vichupichupi! Ukiwa mtu wa vichupi lyk Jf utapaona bored.
   
 19. h

  hayaka JF-Expert Member

  #19
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mie ni taxi driver na wateja wangu wote wananifagilia kwa kusema niko makini kuliko mataxi driver wote wa kiume. na nikipata pancha nabadilisha tairi mwenyewe mbona huwa hazichomoki?? labda wanawake unaowaongelea we ni wale watoto mayai!
   
 20. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #20
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Inamaana hata wale wanaofake gender unaweza kuwajua kwa kuangalia siredi zao?
   
Loading...