Huku kuna mwanaume pale kuna mwanamke kama ni wewe ungekaa wapi ?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Umeingia kwenye Bus una safiri, safari inayochukua zaidi ya masaa 20.
Hukuwahi kukata ticket mapema, kondakta anakwambia zimebaki nafasi mbili ambapo unakuta seat ni
2 x 2 (abiria wawiliwawili) seat moja kuna Mwanaume na nyingine kuna Mwanamke na hakuna unaefahamiana nae (kama inavyokua mara nyingi safarini unaekaa nae siti moja sharti la kufahamiana halina lazima)
Swali : Ikiwa wewe ni Mwanamke ungependa/ungejisikia ukae na wajinsia ipi ?.
Na wewe Mwanaume ungejisikia uchague kupi ? Na huko utakapokuchagua wewe Mwanamke/Mwanaume nini sababu ya kuchagua ?
 
like charge repels n unlike charge attract, so il go for he mwenzangu nina uhakika hatoniboa ila nitamchek b4 yukoje koje. nikiona we can cope naenda fuul.
 
- attract + law of nature... Sasa ukae na wa jinsia yako ili iweje ushoga unaanzaga hivi kwa kupenda vya kufanana.
 
Safety ! Hii sasa niko kwenye Daladala huku navinjari na majukwaa nimepasukwa cheko! Abiria wananishangaa!
 
Umeingia kwenye Bus una safiri, safari inayochukua zaidi ya masaa 20.
Hukuwahi kukata ticket mapema, kondakta anakwambia zimebaki nafasi mbili ambapo unakuta seat ni
2 x 2 (abiria wawiliwawili) seat moja kuna Mwanaume na nyingine kuna Mwanamke na hakuna unaefahamiana nae (kama inavyokua mara nyingi safarini unaekaa nae siti moja sharti la kufahamiana halina lazima)
Swali : Ikiwa wewe ni Mwanamke ungependa/ungejisikia ukae na wajinsia ipi ?.
Na wewe Mwanaume ungejisikia uchague kupi ? Na huko utakapokuchagua wewe Mwanamke/Mwanaume nini sababu ya kuchagua ?
Mambo mengine sio hata ya kuuliza, soooooo obvious jamani sasa nikae na manzi mwenzangu wa nn?? si tutaishia umbea tuuu njia nzima:juggle:
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Mie ningechagua kukaa na mkaka lol!na nikisafiri nikae na mkaka huwa hawana mapozi ni mastory ya ukweli mpaka mnafika.
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Mimi nitakaa na yeyote tu nitakayejisikia kukaa naye kwani kila mtu ana safari yake.
 
mi yoyote hamna tabu. kwanza mi huwa nikishaingia ndani ya bas huwa nalala mpaka nafika so story huwa sio ishu saana.
 
spendiiii,kukaaa na mbibiiii,mbabuuuu au mamaa mwenyee mtoto mdogo,kuna mitoto mikorofiii....umeshikaa paja lako la kuku mara kakopokonyaaa,unasomaa gazetiii mara ka chanaaa,mara kanyaaa mama anataka kumbadilisha nepi anakuomba umshikie...yani safari utaiyonaa chungu,kwaa mapigo hayo nibora nikae na jinsia mojaaa....ila kama ni kibinti kinda kindaki aaaah najitosha live kukaanacho uwezi jua mwisho wasiku nikachukua mtego[number].mara nyingi nikikata teketi na wambia kabisaa nipangieni na kabintii jamani safari iwee fupi
 
Me nikisafiri bila kukaa na msichana huwa cjickii raha kabisa,,sa nikae na likaka lenzangu ili iweje?
 
Wadau nawashukuru kwa comments zenu! Aidha Thread hii sikua nimeileta kufurahisha tu jukwaa! Shabaha ni kuwafungua my fellow Membars kwamba Kaka yangu mke aliemuoa Source walikaa seat moja Wakitoka Mwanza kwenda Dar na hapo kwenye seate ndipo walifahamiana kwa mara ya kwanza wana miaka 9 Ndoani rite now, na wana watoto watatu.
 
spendiiii,kukaaa na mbibiiii,mbabuuuu au mamaa mwenyee mtoto mdogo,kuna mitoto mikorofiii....umeshikaa paja lako la kuku mara kakopokonyaaa,unasomaa gazetiii mara ka chanaaa,mara kanyaaa mama anataka kumbadilisha nepi anakuomba umshikie...yani safari utaiyonaa chungu,kwaa mapigo hayo nibora nikae na jinsia mojaaa....ila kama ni kibinti kinda kindaki aaaah najitosha live kukaanacho uwezi jua mwisho wasiku nikachukua mtego[number].mara nyingi nikikata teketi na wambia kabisaa nipangieni na kabintii jamani safari iwee fupi

Mkuu respect nimecheka sana, sifa ulizo zitaja zinaendana na za kwangu watoto wengine wanaziogopa sura zetu kwa kataenda kanalia safari nzima. Nitarudi baadae kidogo
 
Mambo mengine sio hata ya kuuliza, soooooo obvious jamani sasa nikae na manzi mwenzangu wa nn?? si tutaishia umbea tuuu njia nzima:juggle:

Kama hiyo haitoshi mi imeshatokea moja ya safari zangu nilikaa na mwanaume mwenzangu . Jamaa alikua m'bovu wa mbonji abt 70% ya safari yeye ni usingizi, na akilala ananiegemea ananichoma na midevu (mzuzu mrefu) shingoni mwangu mara mashavuni, ndiyo siku nilisema bora niwe nakaa hata na Bibi ili'mradi gender iwe hatufanani.
 
Me nikisafiri bila kukaa na msichana huwa cjickii raha kabisa,,sa nikae na likaka lenzangu ili iweje?

Hapo umepiga mahesabu nje pitchbox ! Cocher akikwambia get in ni pasi moko unamuangalia kipa kakaa vipi unam'dash kushoto, Nyanda anadaivu kushoto mazee unacheka na kamba za kulia! (umem'peleka marikiti) kipa anasimama, wewe unarejea kati umevua jezi unaipunga hewani.
 
Mkuu respect nimecheka sana, sifa ulizo zitaja zinaendana na za kwangu watoto wengine wanaziogopa sura zetu kwa kataenda kanalia safari nzima. Nitarudi baadae kidogo

mbavu zangu jamani! Uuuuwiiiii!!..
 
Back
Top Bottom