Am looking for agirl to love

RIO BIZO

Member
Sep 28, 2011
23
2
Natafuta mchumba,awe anajiheshimu,mchangamfu asiwe mrefu sana yan awe size ya kati and any colour is ok.nipo chuo kikuu cha afya muhimbili nasoma na na tutor wa kampala university am jas 23 of age so msichana atleast tuwe tunaendana age
 
wewe ni rio huyu huyu tunaemjua sisi???? Makubwa
 
Tips kabla hujatuma

  • Eleza sifa zako za nje na ndani zikihusisha vitu kama umri, umbo, dini, upendavyo (walau hints), kazi na hata uraia naona pia unamata.
  • Hakikisha hizo sifa ulizotaja za unae muhitaji na wewe pia umeainisha zako.
  • Kama yupo JF pleeeeeeeeease m-PM mana hamna haja ya kutupa wote faida otherwise kama mnatualika harusi…
  • Toa contacts walau e-mail address mana CM utakua umepalia makaa..
  • Unapotuma thread onesha basi you mean it maana kama ni utani it is better ikiwa jukwaa la jokes…
Na mengineyo ya muhimu…
Source: AshaDii...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom